Kumuonesha mwanamke wa kiafrika unampenda ni kosa kubwa sana

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,051
2,000
Hapo vip!!

Nimekuja kugundua kunatofauti kubwa sana kati ya mwanamke wa kiafrika na mwanamke wa kizungu.

Binafsi nimeshakuwa na mahusiano na msichana wa kizungu ambaye ni Mspain,pia na wanawake wa kiafrika.

Tofauti.
Mwanamke wa kiafrika ukimuonyesha unampenda tegemea yafuatayo :-
1.Anakuwa na kiburi then anatumia hiyo hali kama nafasi ya kukutesa.
2.care inakuwa zero,hawezi kujali,yaani usipo angalia utakuwa mtumwa wa ndoa.
3.Ni raisi sana kukucheat au kuchepuka na wahuni kwasababu ameshajua unampenda Sana.
4.Atakuringia sana na kuonyesha madharau ya kishamba huku moyoni ukukata mawasiano anaanza kukutafuta mwenyewe bila haya.
5.Tegemea majibue ya karaa,yasiyobembeleza.
6.Atatumia nafasi hiyo kukutawala

Nimegundua dawa ya hao nikuonyesha hauwajali na hauwapendi becouse wameumbwa waonyeshe hivyo,kama babu zetu zamani ndio maana wamedumu nao.

Mzungu.
Mimi nilishakuwa na mahusiano na msichana wa kizungu.
1.Anaheshimu hisiana za mpenzi wake.
2.Akijua umempenda inakuwa two ways traffic,atakuwa na ww karibu achunguze na ajiridhishe kama kweli unampenda.
3.Mkitoka out kula mingo anakuambia please my love,you can't pay everything.
4.wanacare sana sijawahi kuona.

5.wapo open-minded.
6.wanawahishimu Sana wapenzi wao.

Of course now yupo Denmark anasoma master.
 

The Underboss

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,449
2,000
Wanawake wote wako sawa, haijalishi mzungu, msomi, mwarabu, asiesoma nk, wote akili yao iko sawa ila hua wanatofautiana kutokana na jamii waliokulia, makuzi yanaweza kuwatofautisha wanawake.

Mimi wanawake walinisumbua awali nilipokua sijawajua vizuri, baada ya kuwajua na kuwafaham hawajawahi kunisumbua tena. Nashukuru sijui hii akili ya kuwajua wanawake niliitoa wapi, naishi nao kwa amani sana.
 

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
1,051
2,000
Wanawake wote wako sawa, haijalishi mzungu, msomi, mwarabu, asiesoma nk, wote akili yao iko sawa ila hua wanatofautiana kutokana na jamii waliokulia, makuzi yanaweza kuwatofautisha wanawake.

Mimi wanawake walinisumbua awali nilipokua sijawajua vizuri, baada ya kuwajua na kuwafaham hawajawahi kunisumbua tena. Nashukuru sijui hii akili ya kuwajua wanawake niliitoa wapi, naishi nao kwa amani sana.
Hata kunasehemu zingine mtu ukimuuliza the best food atakuambia wali maharage but tatizo hajawi kuzunguka Duniani akala vyakula vingine.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom