Wife kafumania sms za mchepuko msaada jamani ushauri nifanyaje kimenuka

Mwanaume hata ukifumwa juu ya kiuno cha mchepuko, unakana kuwa you were doing nothing. Hapo inabidi umkane huyo mwanamke. Mwambie wife huyo dem ameachika na bwana ake akawa anataka kujiua, so ili kumpunguzia stress ukaona bora umbebishe taratibu taratibu ili asijidhuru mpaka hapo atakapo kaa sawa ndio umpotezee, sasa bahati mbaya kazifuma text...
 
!!!!!
Nitautunza huu ushauri for future use,,.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom