Love Journals

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,226
0
Welcome to our new journals section! Use your journal to speak your mind to the rest of the JF community! Post your thoughts, ideas, advice and tips about anything and everything love related! Your posts could even wind up in our featured journals section!
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,226
0
me and my lOVE of 6 months have had a really rough start at things and through everything we have still managed to make it through but everything is changing and even though what we have been there
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,226
0
Leo Kutwa Nzima Nimekuwa Nachat Na Mpenzi Wangu Wa Zamani Ambaye Tuliachana Nae Miaka 2 Iliyopita Nimeenjoy Chat Yake Sana Na Ameniahidi Atakuja Tena Tanzania Wiki Ijayo Nahisi Kama Vile Nitaachana Na Mpenzi Wangu Wa Sasa Niende Kwa Huyu Wa Zamani Sijui Itakuwaje Ngoja Wiki Ijayo Atue Nifanye Uamuzi Wa Busara
 

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,462
0
Leo Kutwa Nzima Nimekuwa Nachat Na Mpenzi Wangu Wa Zamani Ambaye Tuliachana Nae Miaka 2 Iliyopita Nimeenjoy Chat Yake Sana Na Ameniahidi Atakuja Tena Tanzania Wiki Ijayo Nahisi Kama Vile Nitaachana Na Mpenzi Wangu Wa Sasa Niende Kwa Huyu Wa Zamani Sijui Itakuwaje Ngoja Wiki Ijayo Atue Nifanye Uamuzi Wa Busara


Unatafuta kujichanganya...... in the long run you will be emotionless.....dont play mind games with your two lovers...
 

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,462
0
..simply,hajui anachokitaka!


It is sad to see how technology has really turned people into something else...watu wamekuwa kama vitu...majitu yasiyo na utu... hakuna tena utu katika chochote hata mapenzi.... watu wanadanganyana..wanavurugana...iweje leo ujiingize katika mazungumzo ya moyoni na mtu ambaye humuoni..ukamsoma hata body language umuelewe na yeye akuelewe...mtu anasoma signals kwenye mistari kwenye keyboard!!Jamani tuige yale yenye msingi na manufaa zaidi....
TUMEKWISHA!!
 

DAR si LAMU

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
2,933
1,500
It is sad to see how technology has really turned people into something else...watu wamekuwa kama vitu...majitu yasiyo na utu... hakuna tena utu katika chochote hata mapenzi.... watu wanadanganyana..wanavurugana...iweje leo ujiingize katika mazungumzo ya moyoni na mtu ambaye humuoni..ukamsoma hata body language umuelewe na yeye akuelewe...mtu anasoma signals kwenye mistari kwenye keyboard!!Jamani tuige yale yenye msingi na manufaa zaidi....
TUMEKWISHA!!

..taratibu dada.

..zamani za kale ilikuwa ana kwa ana. halafu ikaja barua,watu wakawa wanaandikiana sana na mapenzi kukomaa. sasa ni wakati wa email na chat,na watu wanajenga mapenzi na yanakomaa.

..sasa,kama ilivyo kwa mawasiliano ya ana kwa ana,kudanganyana kupo pia kwenye hayo mengine.

..hatujakwisha,tumekwishwa!
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,226
0
Leo ni siku ya jumatatu , Leo niko mbali sana na mji kikazi nimeongea na mama watoto kidogo tu asubuhi kabla ya kuanza safari yangu na hata hapa nilipo sasa hivi nataka niongee nae tena kwa sababu leo sintorudi mjini mpaka kesho kutwa tena ndio kuonana nae

Mama watoto kwa kweli leo ametulia sauti yake ni nzuri na tamu sana sijui niseme nini nikiwa mbali huwa nammiss sana kuliko kitu kingine chochote

huwezi kuamini leo siku nzima sijala wala kuonja chochote mpaka niongee nae usiku wa leo ndio niweze kula tena
 

Mtaalam

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
1,304
1,250
wewe shy nionavyo mie ni mgonjwa au huelewi wat u want in life....ngoja kwanza mpaka yakupate ya kukusibu then utatia akili!!!!!!!!!

lastly ukumbuke huwezi tumikia 2 masters ehhh
 

NaimaOmari

JF-Expert Member
Sep 25, 2007
806
195
Kuna mwanamke mmoja zamani za kale - nimehadithiwa na bibi yangu. Aliishi kwa taabu kubwa sana na mume wake ambaye alikuwa mkorofi kupindukia yani mwanamke hana kizuri atakachokifanya yule mume akaridhika . akianza kumpiga tena ndiyo usiseseme . so one time majirani kwakumhurumia wakamshauri huyu mama aede kwa mganga akajaribu kumtuliza mume wake, basi akaenda kwa mganga ... akamwambia mbona dawa ndogo sana .. yule mama kusikia hivyo akafurahi, mganga akamuuliza je utaweza masharti.. akajibu nko tayari kwa lolote ilimradi niondokane na adha hii .. mganga akamwambia nahitaji sharubu moja tu la simba .. yule mama akasema sawa nitakuletea .. yule mama akawinda simba na kumpata ... kila siku akawa anampelekea yule simba chakula mwisho wakazoeana.. akawa anamsogelea siku hadi siku mpaka akaweza kumvuta sharubu bila wasi wasi maana yule simba kishamchukulia kama rafiki .. kumpelekea mganga .. akamwambia mbona simba mkali na anaogopea umeweza kutimiza haya ... unanitania nini nenda ukamtulize mume wako hapa sina dawa ya kukupa!!!!!
 

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,462
0
..taratibu dada.

..zamani za kale ilikuwa ana kwa ana. halafu ikaja barua,watu wakawa wanaandikiana sana na mapenzi kukomaa. sasa ni wakati wa email na chat,na watu wanajenga mapenzi na yanakomaa.

..sasa,kama ilivyo kwa mawasiliano ya ana kwa ana,kudanganyana kupo pia kwenye hayo mengine.

..hatujakwisha,tumekwishwa!

Tunaona na hata kusikia...watu wanadanganyana.. oh..im a gal, 20yrs of age, gud looking! Kumbe wale sio kibibi ni kibabu cha miaka 70, ....zamani huandiki barua kwa mtu usiemjua kabisa... hata penpals walikuwa wanabadilishana picha..( uongo ulikuwa kidogo sana ukilinganisha na huu wa leo wa kwenye internet!)

Ila labda tuseme ni uchaguzi wa mtu kujidanganya ama kudanganywa..
 

Jobo

JF-Expert Member
May 15, 2008
587
225
Siku hizi si kuna webcam unaweza mwona unayechat naye ili ufanye uamuzi?
 
Mar 19, 2008
15
0
Shy wewe mtoto acha kujichanganya. labda uwadanganye wasiokujua wewe, kwa jinsi nikujuavyo, angalia dunia ya ukimwi hii utakufa ukiwa bado kijana. Hujui nini maana ya kupenda wewe!

Angalia we mtoto wa kichaga
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,226
0
Hakuna Kitu Kizuri Kama Kukaa Mahali Kufanya Hili Na Lile Huku Ukijua Sehemu Fulani Kuna Mtu Anakuwaza Wewe Anakupenda Na Anapenda Kila Kitu Kuhusu Wewe Na Pengine Yeye Anakufikiria Zaidi Wewe Kuliko Unavyomfikiria Yeye .

Leo Imekuwa Siku Njema Sana Kwangu Ingawa Sijaongea Kwa Muda Mrefu Katika Simu Na Mama Watoto Lakini Ameonyesha Tabasamu Na Mapenzi Ya Hali Ya Juu Kwangu
 

Yona F. Maro

R I P
Nov 2, 2006
4,226
0
Leo Nko Salama Tu Nimeongea Na Mpenzi Wangu Asubuhi Na Mapema Kama Ilivyo Ada Yangu Kumsalimia Kumuuliza Haya Na Yale Na Kumtakia Siku Njema Kama Ilivyo Kawaida Ya Wapenzi Mchana Wa Leo Niko Mbali Kidogo Hata Katika Simu Siwezi Kupatikana Lakini Nampenda Sana Mpenzi Wangu Hakuna Mwingine Zaidi Yake Sema Tu Kazi Na Mihangaiko Ya Dunia Inatufanya Tuwe Mbali Mbali Kidogo Lakini Mapenzi Yanaendelea Kukua Siku Hadi Siku

Ninachohitaji Ni Hewa Ya Kupumua Na Kumpenda Zaidi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom