Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna msemo kwetu Buhaya “ensenene zagwa mbali batazilya” ikimaanisha senene ni wengi sehemu ambapo hawajui thamani yake. Juzi wakati naelekea katika kibanda umiza kuangalia mechi ya Man U maarufu...
4 Reactions
13 Replies
4K Views
Mwanamke mwerevu hutunza heshima yake kwa maneo matendo na mavazi yake. Hakikisha ukiwa mzuri na mrembo basi uwe na akili ya kufikiria pamoja na nidhamu ili usiwe daraja la wanaume walafi.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau poleni ni mihangaiko, leo nataka tutafakari hili jambo kwa pamoja, ni nini hasa kiini cha maumivu ya kimapenzi? Kwa nini ukiachwa na mpenzi hasa unayempenda maumivu huwa makali? Kwa nini...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Juzi nilikuwa natoka sehemu kwenye mishe zangu ,ghafla nikamkuta shemu wangu stand anaposubiriaga usafiri akitoka chuo nikampa lifti kuelekea home nikachepuka sehem kupata 1,2. Ila sehemu yenyewe...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Mimi mwalimu chuo x. Mwanafunzi anadai aninipenda sana kiasi anashindwa kuelewa somo langu kabisa. Nimewapa assesent kweli hajafanya vizuri ingawa masomo mengine anafanya vizuri. Kweli sijaoa...
3 Reactions
14 Replies
4K Views
hello mendez n Madonna. I salute u in the great name of love. leo nataka nishare na nyinyi jambo dogo lakini muhimu sana katika nyanja mbili, yan mapenzi na usafi kwa wote ...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Mara nyingi huwa siamini haya mambo ila kuna mshkaji wangu simuelewi. Tunafanya wote mradi flani ila jamaa akipata pesa hata kidogo tu yote nzima nzima anapeleka kwa mwanamke wake badala ya...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kiukweli mm mdogo wangu amenitangulia kuoa,na Leo n sherehe ya harusi yake.... Mm naishi DSM na kwetu n mkoani huko sasa ndio nikapewa hbr za hyo harusi...nmefurah lkn kwa upande mwingne nahis...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Kuna imani (myth) zilizojengwa tangu kale kuhusu mwanamume ktk suala zima la mapenzi.. Imani hizi ni; 1. Men want sex anywhere, anytime 2. Men have affairs because of sex 3. Men are comfortable...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Amani iwe nanyi wapendwa,awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehma na baraka tele anazotujalia kila siku. Wadau baada ya ushauri wenu katika uzi huu>>> Akina Dada kwanini hamtaki kutumia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna siku ulishakaa peke yako ukasema kwamba mimi kupenda tena basi ? Inatokea kwa wengi na ni maumivu ya kutendwa ndio yanayosababisha kauli hiyo,, Haimaanishi kuwa ulitamka kwa hasira au kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Una mpenzi wako, mpo katika uchumba. Kwa kipindi chote ame fake kuwa ni muumini wa dini fulani ambayo ndio unayo wewe. Sasa siku unakuja gundua si kweli, hana dini na haamini uwepo wa Mungu...
0 Reactions
71 Replies
7K Views
Kwa maoni yangu huu ndio msemo wa kilofa ulio katika kiwango cha juu kabisa cha ulofa na kwa wakati wote ALIEKUPA WEWE NDIO ALIENINYIMA MIMI.. Siamini kama kuna msemo mwingine wa kilofa unao...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Unakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika...
16 Reactions
136 Replies
39K Views
Habari Zenu wakuu Naombeni kwa ushauri kwa mke kama huyu :- 1 ) Ni mtu anapenda kutafuta chokoro chokoro kutwa 2) Ni mtu hapendi sana ndugu zangu wala utani hana nao kidogo wakifanya nae Jokes...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Una mtokea manzi, mkakutana na kuchati siku mbili tatu, unamuomba game. Matokeo yake anakuja juu, umeniona mimi malaya au cheap girl. Yaani anachukia eti mmekutana juzi tu leo una muomba game...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Mke analengo gani anapoamua kulea mtoto wa mchepuko wako hapo nyumbani. Na anaenda mbali zaidi anamshawishi mchepuko waje wote wakae house moja.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Saikolojia inasema hivi. Mwanaume hawezi kumpenda mwanamke anayejibizana naye au kumfokea. Saikolojia hiyo hiyo pia inasema hivi. Hakuna Mwanaume mkorofi mbele ya Mwanamke mnyenyekevu. Je ? Ni...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Ukimwangalia mpenzi wako unaona nini? Unaona future yenye furaha na mafanikio? Au unaona migogoro na vikwazo vingi maishani? Yote yanaweza kua majibu. Ukishapata majibu basi ndio utajua uendelee...
5 Reactions
22 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…