Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

Msaada: Mke wangu anapaka kitunguu maji sirini!

FrediusSnowden

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
269
Reaction score
225
Wakuu habari za leo, binafsi naomba radhi kama uzi utakuwa na maneno makali..

Hivi karibuni nimegundua kitu ambacho si kawaida kwa mke wangu. Baada ya tukio la huko nyuma nami kuwaomba ushauri namna ambavyo nikimtekenya mke wangu achekelee, nimekuja kuona mabadiliko ya aina fulani.

Nime-note kuwa "mbunye" sasa inabana na kiuno feni imezidi. Ila sasa.. Nasikia harufu ka ya kitunguu maji!..

Baada ya utafiti wangu nikagundua huwa anajipaka. Je ni hali ya kawaida kwa wanawake kutumia vitunguu maji? Je kuna madhara yoyote? Je, ni limbwata?

Nisaidieni wakuu!
 
Hahaha mwambie aache kuunga uke ..atakipata anachokitaka na huyo kungwi wake atamkimbia.

Wanawake wengi wanakamlia.NDIMU NA VITUNGUU ukeni ili kufanya UKE UBANE UWE MDOGOOOOO , na ukicheza.unaweza hisi bado ni bikra kumbe hamna kitu.

Sasa yeye aendelee kubadilisha PH ya Ukeni alafu atakipata anachotaka.

Mwambie afanye mazoezi ya misuli ya uke wake.
 
Kwanini usimuulize yeye mwenyewe kwanza??

Hivi wewe mkuu umepitia jandoni kweli? Hivi vitu vya sirini vya mkeo unakuja kutuletea humu JF?
Mkuu ndio maana tunatumia fake ID. Lakini hoja aliyoileta inamashiko hata kwetu ambao hatukwenda jando la nyakanga. Hapa na sisi tumejifunza kitu ili hata tukiona kwetu yanatokea ni rahisi kuchukua hatua. Elimu haina mwisho na pia sio hadi pawe na majengo.
 
Kwanini usimuulize yeye mwenyewe kwanza??

Hivi wewe mkuu umepitia jandoni kweli? Hivi vitu vya sirini vya mkeo unakuja kutuletea humu JF?
Nikweli kakoseaa, ila haina madhara kwakua Humu hatujuani..

Kwan unamjua mke wa mtoa.mada?? Au mtoa mada mwenyewe unamjua??.

Hii ndo faida ya ID fake..... Ndio maana hata watu wenye kinga dhaifu wanajiachia kutafuta humu wenza wao hata msaada....
 
Back
Top Bottom