Naomba kupewa uzoefu wa maisha ya kibachelor

Naomba kupewa uzoefu wa maisha ya kibachelor

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Salamu wanaJF

Nimeamua kuishi life la kibachelor kutokana kwamba mpenzi wangu alinisaliti.

Tupeane uzoefu maisha haya wakuu.
 
Maisha ya kibachala matamu sana"" Muda mwingine unaeza jiuliza mwenyewe baby leo utakula nn [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwako yatakuw magumu sana kwa sababu umezoea kulamba asali sasa sisi mabachelor sugu hata asali hatuijui..
 
Back
Top Bottom