Kila ninayemtongoza anakubali lakini ndani ya muda mfupi anaomba Hela! Wanaume tutatue hii changamoto maana inatishia Amani ya Uchumi wetu.

Status
Not open for further replies.

Papaa Mutombo

Senior Member
Jul 16, 2018
166
232
Morning people,

Kwakweli nashindwa kuelewa kinachoendelea kwenye jamii ya kike kwa ujumla wake hasa ya mijini (Dar, Mwanza na Arusha). Mimi sio mbahiri au nina tabia ya uchoyo na ninajua umuhimu wa kuhonga. Lakini miaka ya hivi karibuni; nimeshuhudia kwamba sipati tatizo la kutongoza...nikimtamani au kumtaka mwanamke, kwa uzoefu wangu katika kuanzisha mahusiano, kwakweli huwa sikataliwi, labda tu nisionyeshe msimamo au kutozingatia misingi ya kutongoza.

ila Changamoto ambayo nimeiona na inaudhi kwakweli na inakera, na ukiiendekeza hutopaa kiuchumi kabisa au kufanya mambo ya msingi: NI HII YA MWANAMKE TAYARI MPO KWENYE MAHUSIANO NA BADO NI MACHANGA, LAKINI ANAWEZA ASIKUULIZE HATA JINA LAKO LA PILI ILA AKAKUOMBA PESA. Wengi wanapiga mizinga indirectly: naumwa, nitumie vocha, mama mgonjwa, nauli etc...kitu ambacho kwa sisi wanaume tunaojielewa tushashtukia hizo mbinu, na kuna wanaume huwa hawajali basi wanatuma au kutoa tu pesa.

Ila kiuhalisia, ni kukoswa aibu na kutoheshimu mahusiano hayo machanga kwa kuanza kulialia shida, ilihali inajulikana mapenzi ni win-win situation...mfano: mtoe dinner, mfanye tendo then kwa wanaume wastaarabu hata bila kuombwa pesa, atatoa tuuu, atampa hela huyo dada indirectly pia: chukua hii ya nywele, au ukafanye ABC, au kaongezee kwenye karo ya mwanao, etc.

Kwahiyo ni ustaarabu wa kawaida kabisa kwamba hamna cha bure. Lakininimekutongoza leo, nimeanza tu kuchat na wewe, kukujulia hali...ghafla "baby nisaidie elfu 10 nina shida nayo ya haraka!" NO....BIG NO.

Hali hii mimi imepelekea kuwa na mahusiano yanayodumu masaa 2 hasdi 24 au wiki tu. Sasa najiuliza kwanini mwanamke mwenye akili timamu, na unajua ana kazi, na ana elimu, au yupo kwao ana wazazi...muda wote amependeza...na wewe mtongozaji ni gentleman, una kazi yako, umestaarabika...ila ukimtongoza na akakupokea anaanza kuomba hela on the instant??

Nikajadili mada hii na mama mmoja, akasema ile ni kukupima kama kweli uko serious. Hiyo hoja nikapangua vikali: Pesa sio kigezo cha kupima userious wa mwanaume, mpaka amekutongoza na kuweka juhudi kupata namba, umzoee, etc lazima atakuwa serious...na wengine huwa tunaingia gharama kabisa ya muda, pesa na umakini hadi kumpata...kwahiyo ati kwamba unanipima kwa kuniomba hela that's big no. hakuna mwanaume asiyetambua kuwa anapaswa kumhudumia mpenzi wake.

Binafsi nataka niachane kabisa na kutongoza kwasababu nipo mjini na wanawake wengi wanaomba hela kupita kiasi asi if sisi hatutambui kuwa wana mahitaji. Lakini siwezi kuhudumia mtu ambaye hata sijala papuchi yake, au kumpa hela ndani ya muda mfupi sana wa mahusiano...najiona ni kujishusha mno, na imepelekea ni underrate sex na wanawake kimapenzi kwa ujumla hasa wa mjini.

Nataka kuanza kununua, japo changamoto ya kununua ni kwamba kunakuwa hamna Emotional Connection...raha ya mapenzi muwe social, muwe na emotional connection, ila hii ya umemkuta hapo basi unampa chake anapanua...mm huwa haina radha, labda niwe nimezidiwa na ugwadu au nimelewa.

Kwahiyo wakuu hebu tuchambue na tusaidiane maoni ili kulinda Amani ya uchumi wetu wa mifukoni...tutahonga wangapi? maana kwa siku wengine tunatongoza wanawake wengi...with hope kwamba mwisho wa wiki kuna 1 au wawili watakuelewa na utakula mzigo au hata kuoa kabisa. Lakini sio kujaribiana kwa nguvu ya pesa, kwamba ili uonekane rijali na unajali, basi utume salio...tena wengine mmetongozana kwa simu tu..hamjaonana, ila anaomba hela. Huku ni kukosa haya, na au ni ujasiriamali flani...maana imagine kwa siku anaomba wangapi na anaingiza ngapi?

So hii tabia tukiendekeza tutakuwa na jamii ya kike ya mjini isiyofanya kazi...kazi kupokea miamala na wanapewa papuchi wawili watatu tu...ila mliosponsor mpo kama 30. Haiwezekani. Lazima jambo hili lipatiwe ufumbuzi.

Nawakilisha.

cc BAK Mshana Jr Shunie ISIS yna4 Numbisa amu by default Ajiapro68 Inna Nyani Ngabu cha mideko GENTAMYCINE lady j Money Stunna
 
mkuu hilo ni JANGA LA KITAIFA, ,,MWANAMKE unamtongoza siku ya kwanza,,mnakubaliana kupeana namba za Simu,,mnaanza CHATING,,, ili mpate kufahamiana VZR,,,kabla hata ya siku 2 unapigwa KIZINGA,,Leo zamu yangu KUNUNUWA LUKU hapa HOSTEL. ,,au hapa NYUMBANI nilipopanga,,MARA KUNA MSIBA ,,,unaweza UKAJIPINDA UKATOA 20000 ya UMEME,,mnacht kile Mara hiki, huku Ukisubiri SIKU YA KUKUTANA. ,,hapo ndy VIZINGA VINAZIDI,,,utapigwa KIZINGA KINGINE. tena safari hii ni kikubwa KIDOGO,,,,yaani huwa wana balance VIZINGA kama DOZE YA MGONJWA,,kama siku ya kwnz alianza kukuomba 20,000,,ukampa 15000,,basi ameshajuwa uwezo wako wa mfukoni,,,siku ingine atakuomba 40,000 ya kusuka ili apate 25000'' au ukimpatia pesa CASH aliyoomba,,siku ingine ataomba hii zaidi.,,Mara hiki Mara kile,, OK utajipinda tena KUMPA PESA,,na ukishaanza KUMPA PESA,,anaanza KUKUZUNGUSHA Mara Leo kuna MGENI HOME. Mara Leo NAUMWA,,anajaribu kukuzungusha huku VIRUNGU VIKIENDELEA,,na mbaya zaidi hata ile siku ya ahadi anataka umtumie nauli, mfano Mwanamke anaishi SINZA,, wewe upo KIMARA,,anataka nauli ili AWEZE KUFIKA KWAKO,,,,hapo ndy wanapotuweza,,,wengi wanashindwaga hapo,,5000 njoo basi,,utasikia yaani unanitumia nauli 5000 kweli? Au ukishamtumia anaanza VISINGIZIO,,Simu itazima ,,na huko hakujuwi NGOJA NICHARG Simu,,Mara hapatikani,,Simu ikija kuwaka tena anasingizia,,si nilikwambiya SIMU HAINA CHARG,,na UMEME ulikatika, yaani VISINGIZIO kedekede,,,na hapo KWENYE NAULI ukitaka UMMALIZE tia 30,000 panda BAJAJ,,akiomba 20,000 MPE 40,000,,haifiki hata siku 3 USHAMLA,,na NDY MAANA mwanamke wa KISWAHILI unapokutana nae Mara ya kwnz ANAKUANGALIA JUU hadi CHINI,,nadhani lengo lao ni KUJIRIDHISHA kama UNAVYOINEKANA unaweza KUMSAIDIA akiwa na shida? Mara nyingi mwanamke unapomtongoza,,hadi kufikia KU SEX ,,haimaanishi anakupenda SNA,,au wewe unavutia sana,,HAPANA,,Mara nyingi wanafata MASLAHI,ndy chanzo cha mwanamke KUKUKAGUWA MUONEKANO WAKO SIKU YA KWNZ KUMTOKEA,,,,ndy maana UKIWA NA GARI hata LA kuazima,,wanaona wewe UNAPESA,,huwezi kuwa na GARI UKAKOSA PESA YA KUMPA,, ,,NA UTAWATAFUNA HASWA,,,tena BILA VIZINGA vingi,,,hapo USUMBUFU wote wa VIZINGA anaokusumbuwa KUNA KIJANA,,,ambaye hana MPANGO WOWOTE ndy anakula PESA ZAKO...yaani bure kabisa hawa watu,,,Mimi kama nimetongoza MWANAMKE akishaanza VIZINGA,,hata kama nitamla,,bado nishamshusha
 
Sasa kama naww ni kupiga mzigo tuu, unataka upige mzigo usepe?? Nawenyewe wanajua huyi kaja sababu ya nyege tu ,sasa asipoteze nibora akupige virungu.

Lkn wenda tongoza yako huwa ni kujisifia uko vzur, kwann asikupige mizinga???..
Mkuu soma mada ay kwa aya....usichambue kaneno ndo ukatengenezee comment. Hakuna amahali nimesema mimi nataka tu kupiga mzigo..na topic ni ndefu na kila aya ina wazo lake ili kujenga hoja. be serious.
 
mkuu hilo ni JANGA LA KITAIFA, ,,MWANAMKE unamtongoza siku ya kwanza,,mnakubaliana kupeana namba za Simu,,mnaanza CHATING,,, ili mpate kufahamiana VZR,,,kabla hata ya siku 2 unapigwa KIZINGA,,Leo zamu yangu KUNUNUWA LUKU hapa HOSTEL. ,,au hapa NYUMBANI nilipopanga,,MARA KUNA MSIBA ,,,unaweza UKAJIPINDA UKATOA 20000 ya UMEME,,mnacht kile Mara hiki, huku Ukisubiri SIKU YA KUKUTANA. ,,hapo ndy VIZINGA VINAZIDI,,,utapigwa KIZINGA KINGINE. tena safari hii ni kikubwa KIDOGO,,,,yaani huwa wana balance VIZINGA kama DOZE YA MGONJWA,,kama siku ya kwnz alianza kukuomba 20,000,,ukampa 15000,,basi ameshajuwa uwezo wako wa mfukoni,,,siku ingine atakuomba 40,000 ya kusuka ili apate 25000'' au ukimpatia pesa CASH aliyoomba,,siku ingine ataomba hii zaidi.,,Mara hiki Mara kile,, OK utajipinda tena KUMPA PESA,,na ukishaanza KUMPA PESA,,anaanza KUKUZUNGUSHA Mara Leo kuna MGENI HOME. Mara Leo NAUMWA,,anajaribu kukuzungusha huku VIRUNGU VIKIENDELEA,,na mbaya zaidi hata ile siku ya ahadi anataka umtumie nauli, mfano Mwanamke anaishi SINZA,, wewe upo KIMARA,,anataka nauli ili AWEZE KUFIKA KWAKO,,,,hapo ndy wanapotuweza,,,wengi wanashindwaga hapo,,5000 njoo basi,,utasikia yaani unanitumia nauli 5000 kweli? Au ukishamtumia anaanza VISINGIZIO,,Simu itazima ,,na huko hakujuwi NGOJA NICHARG Simu,,Mara hapatikani,,Simu ikija kuwaka tena anasingizia,,si nilikwambiya SIMU HAINA CHARG,,na UMEME ulikatika, yaani VISINGIZIO kedekede,,,na hapo KWENYE NAULI ukitaka UMMALIZE tia 30,000 panda BAJAJ,,akiomba 20,000 MPE 40,000,,haifiki hata siku 3 USHAMLA,,na NDY MAANA mwanamke wa KISWAHILI unapokutana nae Mara ya kwnz ANAKUANGALIA JUU hadi CHINI,,nadhani lengo lao ni KUJIRIDHISHA kama UNAVYOINEKANA unaweza KUMSAIDIA akiwa na shida? Mara nyingi mwanamke unapomtongoza,,hadi kufikia KU SEX ,,haimaanishi anakupenda SNA,,au wewe unavutia sana,,HAPANA,,Mara nyingi wanafata MASLAHI,ndy chanzo cha mwanamke KUKUKAGUWA MUONEKANO WAKO SIKU YA KWNZ KUMTOKEA,,,,ndy maana UKIWA NA GARI hata LA kuazima,,wanaona wewe UNAPESA,,huwezi kuwa na GARI UKAKOSA PESA YA KUMPA,, ,,NA UTAWATAFUNA HASWA,,,tena BILA VIZINGA vingi,,,hapo USUMBUFU wote wa VIZINGA anaokusumbuwa KUNA KIJANA,,,ambaye hana MPANGO WOWOTE ndy anakula PESA ZAKO...yaani bure kabisa hawa watu,,,Mimi kama nimetongoza MWANAMKE akishaanza VIZINGA,,hata kama nitamla,,bado nishamshusha
Ndo hivyo mkuu, ndo maana nimechambua vizuri ila wavivu wa kusoma wanasema fupisha...ningefupisha wangeona ni kelele tu na hoja kwakweli ingeemea kwenye kuwatetea wanawake.
 
Sorry lakini ndio aina ya wadada waliojaa mjini. Binafsi demu akionyesha trait za udangaji. Kinachofuata ni kibuti cha nguvu..mana hawana future hawa.
 
Kweli mkuu. Mfano kuna jidada la mjini jana, linanipigia simu ooh naumwa...nikasema si uende Hospital\' likasema sina hela...nikasema nakuja basi nikupeleke mwenyewe...IKAWA UGOMVI NA PENZI LIMEVUNJIKA JANA kwa njia ya simu na sijutiii. Yaan imefikia hatua bora niitumie pesa yangu on myself; ninunue pamba kali, niongeze mazaga ghetto , nikalewe na washkaji etc kuliko kumpa hela mwanamke bila mm kuridhia...yaan anipige kizinga cha makusudi...ni dalili mbaya
 
Yaani wewe akili yako kama yangu.

Bora hela yangu nile fresh, nijiweke vizuri.
 
Sorry lakini ndio aina ya wadada waliojaa mjini. Binafsi demu akionyesha trait za udangaji. Kinachofuata ni kibuti cha nguvu..mana hawana future hawa.
Kweli mkuu,,tatizo tunakuqa nalo sisi WANAUME PIA,,unakuta ukishatoa PESA KIASI,,basi unaona Ngoja nizidishe KUTOA PESA ili NIMTAFUNE,,ni kama KAMARI,,kwamba USHALIWA PESA,,bora ULIWE ZOTE,lakini UMPATE,,na wao washajuwa Akikupiga KIZINGA MARA 2/3 UMEMPA,,utakuwa MTUMWA wake kwa VIZINGA,,na PAPUCHI hatokupa,,kwa kujuwa akikupa,,PESA HATOPATA TENA..
 
vizinga sio vikubwa sana siku hizi, na ukataka usipigwe vizinga achana na mambo ya ku chat chat ovyo mara "umekula", "mbona sauti chini unaumwa" mimi napiga simu text sijibu na whatsapp nime disable mpaka hapo kunapokua na uhitaji...

na nikipiga simu kama ni kutoka out nakuambia kabisa haturudi au tutachelewa sana unajiset kisaikolojia kabisa...sipendi kuombwa ila nikitoa kwa moyo ninatoa haswaaa
 
MKUU UMEZUNGUMZIA MISINGI YA KUTONGOZA NAOMBA NIIFAHAMU TAFADHARI ITANISAIDIA MBELE YA SAFARI
 
vizinga sio vikubwa sana siku hizi, na ukataka usipigwe vizinga achana na mambo ya ku chat chat ovyo mara "umekula", "mbona sauti chini unaumwa" mimi napiga simu text sijibu na whatsapp nime disable mpaka hapo kunapokua na uhitaji...

na nikipiga simu kama ni kutoka out nakuambia kabisa haturudi au tutachelewa sana unajiset kisaikolojia kabisa...sipendi kuombwa ila nikitoa kwa moyo ninatoa haswaaa
Word. umeongea kabisa mkuu...kuchat kunaponza...yaan ukiwa social sona unampoteza hasa km hupendi kuendekeza mizinga.
 
Kweli mkuu,,tatizo tunakuqa nalo sisi WANAUME PIA,,unakuta ukishatoa PESA KIASI,,basi unaona Ngoja nizidishe KUTOA PESA ili NIMTAFUNE,,ni kama KAMARI,,kwamba USHALIWA PESA,,bora ULIWE ZOTE,lakini UMPATE,,na wao washajuwa Akikupiga KIZINGA MARA 2/3 UMEMPA,,utakuwa MTUMWA wake kwa VIZINGA,,na PAPUCHI hatokupa,,kwa kujuwa akikupa,,PESA HATOPATA TENA..
ndo hivyo sasa tuamke, tushtuane ili kila mmoja aweke strategy mpya za kudate hawa viumbe bila gharama kubwa isiyo na msingi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom