Ni sababu zipi zinapelekea mwanamke kumnyima mumewe au mpenzi wake unyumba?

Two dimension array

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,593
2,380
Habarini wakuu!
Kwa kweli ni jambo la kushangaza kuona kwamba mwanamke aliyeolewa au ambaye yupo kwenye mahusiano anafanya ukatili wa kumnyima mume wake unyumba(sex)

Binafsi huwa sijuagi sababu ambazo ziko serious kwa mwanamke kumnyima mumewe.

Bali na hilo tu ni nadra sana au hakuna kabisa sijawai kusikia eti mwanaume kumnyima mkewe tendo la ndoni

Je! Ndugu zangu wa kikeni tuseme nyie sio wahitaji sana katika hili au ndo kujitoa ufahamu

Karibuni
 
Kunyimana wala sio kitu kizuri.

Mwenzio ameshikwa na KIU wewe MAJI unayo Nyumbani kwako unamnyima mwenzio.

Jamani sio vizuri kunyimana.

Tuwe tunapeana.

UCHOYO sio kitu kizuri mjue
 
unakuta mwanamke ana stress za kuondolewa kwenye kundi la whatsapp na amepigwa ban jf,halafu wewe unataka upewe naniii kiurahisi
 
Mwanamke mpumbavu huibomoa ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Hapo anapokunyima anaona kakukomesha kumbe ndio anakaribisha nyumba ndogo.
 
Hii ni silaha ya maangamizi kwa wanawake siku hizi. Wanaona ndio njia ya kuwakomoa wenzi wao bila kujua kuwa kwa kufanya hivyo wanabomoa gundi inayowaunganisha na wenzi wao. Taratibu wanatengeneza ufa ambao baada ya muda hubomoa ndoa zao. Baadhi ya wanaume wasio na subira hutoka nje kujiridhisha huku wengine wakitoa vipigo vinavyopelekea majeraha na hata vifo wa wanandoa.
 
tatizo sisi wanaume tumezid kupiga mashine sana, bao la 1 dkk 90 hapo bado bao 3.
 
Back
Top Bottom