Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

  • Closed
Dar ni joto ila nilikuwa Dar hii ni wiki ya tatu dah nimeenjoy sana. Nilialikwa mahali pazuri, nyumba kali mtoto mashallah kijana msafi kabisaa mpaka moyo nimeangalia ndani njee. Dah kijana...
1 Reactions
100 Replies
9K Views
Andiko hili ni mahususi kwa wanaume wasio na ndoto finyu. Kama una ndoto finyu za maisha it's okey, ila limelenga watu wa aina mbili 1. Wanaume wenye ndoto na kiu ya mafanikio. Wanaoamini kuwa...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Habarini wakuu Sehemu pekee ambapo utapata baraka ni pale ambapo watu hawanung'uniki juu yako, watu wanajisikia Amani pale wanapoona picha yako, wanaposikia sauti yako, wanapokuona. Vinginevyo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwanza kabisa niwape heshima yao wanawake wa mbeya katika kujituma kufanya kazi na kujiheshimu. Mimi nmezaliwa Mbeya na nmekulia miaka mingi hapa mbeya hadi sasa, Nilibahatika kuishi Arusha pindi...
2 Reactions
40 Replies
7K Views
Habari za Jumamosi wakuu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina rafiki wa kike ambaye nishamweleza kinaga ubaga nia yangu ya kumuoa. Yeye ni mwanafunzi wa chuo na Mungu akipenda atahitimu...
18 Reactions
236 Replies
24K Views
Nipo kwenye UDA natoka K/Koo naelekea Mbagala pembeni yangu nimekaa na mwanadada mkaliii. Tumesha salimiana ila sijamsemesha chochote mpaka sasa tupo Bandari kuna foleni. Natamani kumsemesha ila...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Japo nimezunguka nchi nyingi za kiafrica lakini sizungumzii huko Bali nchi yetu Tanzania (japo serikali imesema tutapata tabu saaana[emoji23] ) Inasikitisha sana na pia ndio hali halisi!kwamba...
14 Reactions
26 Replies
4K Views
Kiufupi, wanawake hawatabiriki. Leo moto, kesho vuguvugu na kesho kutwa baridi. Hawana permanent state. Nahisi ndio viumbe wa ajabu Mungu kuwahi kuumba. Atukuzwe Mungu. For your own safety...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Sikujua kuwa mapenzi ya mtandaoni yana raha yake ... Nilianza kuchart na mwanamke akiwa USA, (Mtanzania). Tuliwasiliana kwa kipindi cha kama miezi sita hivi. Ilipofika mwisho wa mwaka...
3 Reactions
83 Replies
9K Views
OHH mke wangu kila nikirudi anavimba domo, kunipakulia tu shida nikisema hivi visingizio kibao! Heee heeeiyaaaa, utalalama sana mwaka huu, mwanamke wako mwenyewe shida zako uzilete kwangu, inahu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Cha kusikitisha ni kwamba, binadamu ambao tunawaombea kwa Mungu kila siku wawe na maisha mazuri na mambo yao yaende sawa, ndio hao hao hutupa sababu ya kutoona maana ya maisha na kutujazia majonzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hali ya uchumi kwa sasa kila mtu anaijua wanandugu, mwanamke anakomaa kukuomba pesa ya chakula, hapo hapo anapandishia na pesa ya salon/keki, unaamua kujikamua unamtumia pesa kidogo ukiamini...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama mpenzi wako huwa hapigi simu hadi uanze wewe kaa ukijua unadate na Roboti. Kama mpenzi wako anapenda kupokea na hataki kutoa huyo ni Roboti ndugu yangu! Kama mkiwa on the baby kiuno chake...
4 Reactions
47 Replies
4K Views
Kuna hali hua inanitokea na hii ni tangu nakua nimegundua hili, Inapotokea ninapo onana na jinsia ya kike kwa mara ya kwanza alafu akanivutia sana, sasa kadri ninavyozidi kumuona na hata pengine...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Ama kweli " ukupigao ndio ukufunzao" mwaka jana nlimzungumzia huyu dada humu kwa lengo la kufanya pia liwe somo kwa wengine.huyu dada ambaye jina lake naliweka kwenye parandesi. Nlimtajia wachawi...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi ni kwanini hampendi kutembea na wake zenu mliowaoa mnawaacha nyumbani ,kwanini mnapenda marafiki zenu zaidi tena mkiwa na marafiki zenu mnakuwa na michepuko yenu [emoji57],kwanini muda mwingi...
14 Reactions
345 Replies
20K Views
Mwisho wa siku Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine, anayo kila sababu ya kuhitaji kupendwa, kuolewa, na kuwa na mwanaume ampendae. Yeye kuwa na mtoto hakumfanyi asivutie...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 21 na umri wangu huu mdogo lakini nimesha (experience) vitu vingi katika mapenzi, mwanamke wangu wa kwanza alikuwa na miaka 41 mimi nikiwa na miaka 19. Toka kipindi hicho...
4 Reactions
100 Replies
21K Views
Habari wandugu Kumekua na malalamiko mengi wanawake kupiga mizinga aka ngema ya ukutani miguu kunasia juu yaani hapo hata kama kuna kigwaru cha 100 kinashuka wenyewe Sometime sie wenyewe wanaume...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari zenu za mchana wapendwa, Natumai nyote hamjambo, kwa wale tunaowasiliana PM na nje ya JF nimekuwa hafifu kwenye mawasiliano kwa wiki mbili hizi kutokana na mambo kadha wa kadha hayo ni...
6 Reactions
34 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…