Njia NANE zitakazoonesha kuwa Mwanaume uliye nae ana NDOTO za mafanikio na nia ya kujenga NDOA imara

theriogenology

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
8,750
15,639
Andiko hili ni mahususi kwa wanaume wasio na ndoto finyu. Kama una ndoto finyu za maisha it's okey, ila limelenga watu wa aina mbili

1. Wanaume wenye ndoto na kiu ya mafanikio. Wanaoamini kuwa MUNGU ameweka kitu kikubwa ndani yao, na wako tayari kukitafuta!

2. Wanawake ambao wanajua kusudi lao, wanaotambua kuwa mahusiano na ndoa ni zaidi ya kutumiana romantic texts, kwamba lazima kuwepo na PURPOSE, VISION na DESTINY ya mahusiano na Ndoa.

Mafanikio sio ajali. Mafanikio yanatabirika. Unaweza ukatabiri kuwa mwanaume wako atafanikiwa au laa kutokana na mwenendo mzima wa maisha yake!

Sifikirii kama kuna mwanamke ambae atapenda kuolewa na mwanaume ambae hana jitihada wala ndoto zozote za mafanikio. Kama yupo, hakika anahitaji Deliverance. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu ambae yuko tayari kupanda meli ambayo mwisho wake wa safari una mashaka.

Ndio, ndoa sio Business partnership, wala sio sehemu ya kutengeneza profit, ila sio sehemu ya kufeli vilevile. Hivyo hizi hapa chini ni njia NANE zitakazokuonesha kuwa Mwanaume uliye nae ni potential katika mafanikio.

1. Huishi kulingana na kipato chake.

Hii inamaanisha huweza kujibana na yupo makini na matumizi yake. Yupo tayari kufanya sucrifices leo, ili aweze kuongeza kipato chake kesho.

2. Anafahamu ni kitu gani ambacho ana uwezo nacho.

Kama Farrah Gray alivyowahi kusema kupitia kitabu chake cha "Rich from the Inside out" kwamba, "Kujua strength yako, kujua uwezo wako ni hatua ya kwanza ya mafanikio yako"

3. Anajiheshimu (self-disciplined).

Kwamba amejizatiti katika mipango na mikakati yake, hajivunjii heshima yake na anathamini utu wake ikiwemo kuji-control na vishawishi anavyokabiliana navyo.

4. Yuko current na updated!

Siku zote huji-expose na maarifa mapya ambayo yatazidi kumpa ideas za mafanikio.

5. Hujilaumu yeye binafsi, sio watu wengine.

Kama kuna jambo litaenda ndivyo sivyo, yupo tayari kuwajibika. "Watu wanaofeli katika maisha ni wale ambao siku zote wanalaumu watu wengine kwenye matatizo yao" - Michael Bailey.

6. Ni mtendaji, sio muongeaji.

Robin Sharma kwenye kitabu chake "The Monk who sold His Ferrari" anasema kwamba "Wenye mafanikio mara nyingi wana tabia inayofanana, wanaongea kidogo, kwao kazi ndio zaidi"

7. Ana maono.

Siku zote hua na maono na ndoto kubwa. Huona picha ya mafanikio mbeleni na wala hua hakatishwi tamaa na hali aliyonayo kwa sasa.

8. Amejizatiti vilivyo kwa MUNGU.

Hayo yote hapo juu yatakua ni ubatili mtupu endapo MUNGU atakuwa amewekwa kando, BIBLE ipo clear kabisa, Baada ya Abraham kumtumikia MUNGU, alibarikiwa na utajiri usio na kifani Mwanzo 13:1-2

Malizia kwa hekima hii, "Mwanamke atakuwa bora, atakuwa na furaha mara elfu, atajiamini zaidi na atajihisi salama endapo atapendwa na ataunganishwa na mwanaume anaempenda na mwenye HOFU ya MUNGU. Mume mwenye hofu ya MUNGU hataonesha upendo pekee kwa mkewe, bali pia atamuongoza mkewe vema kama KRISTO alivyoliongoza kanisa."

Na Hakika Utafanikiwa tu!
 
Duuuh mwandishi agiza peps ya baridi ujilipie maana umeandika upupu wa kiwango cha juu

Wanakuja wanawake waangalie kama ni kweli
 
Kama unataka kuolewana upo serious.
1.uwe na chura
2.uwe unapenda tigo nakunyonywa mtaro.
3.Uwe unatoa tigo
4. mwanaume akiishiwa mpe hela
5.Msikilize mpenzi wako na akiomba kitu mpe usiseme hapana.
6.upende kunyonywa mtaro
7.Ujiriskii hapo ndoa utaipata kwa muda mfupi Kabisaa.
nausisahau carolite na vilainishi kuvitumia..
 
Mweeh hapo chacha, hadi nmekosea kulenga nkojo
 
Andiko hili ni mahususi kwa wanaume wasio na ndoto finyu. Kama una ndoto finyu za maisha it's okey, ila limelenga watu wa aina mbili

1. Wanaume wenye ndoto na kiu ya mafanikio. Wanaoamini kuwa MUNGU ameweka kitu kikubwa ndani yao, na wako tayari kukitafuta!

2. Wanawake ambao wanajua kusudi lao, wanaotambua kuwa mahusiano na ndoa ni zaidi ya kutumiana romantic texts, kwamba lazima kuwepo na PURPOSE, VISION na DESTINY ya mahusiano na Ndoa.

Mafanikio sio ajali. Mafanikio yanatabirika. Unaweza ukatabiri kuwa mwanaume wako atafanikiwa au laa kutokana na mwenendo mzima wa maisha yake!

Sifikirii kama kuna mwanamke ambae atapenda kuolewa na mwanaume ambae hana jitihada wala ndoto zozote za mafanikio. Kama yupo, hakika anahitaji Deliverance. Ukweli ni kwamba, hakuna mtu ambae yuko tayari kupanda meli ambayo mwisho wake wa safari una mashaka.

Ndio, ndoa sio Business partnership, wala sio sehemu ya kutengeneza profit, ila sio sehemu ya kufeli vilevile. Hivyo hizi hapa chini ni njia NANE zitakazokuonesha kuwa Mwanaume uliye nae ni potential katika mafanikio.

1. Huishi kulingana na kipato chake.

Hii inamaanisha huweza kujibana na yupo makini na matumizi yake. Yupo tayari kufanya sucrifices leo, ili aweze kuongeza kipato chake kesho.

2. Anafahamu ni kitu gani ambacho ana uwezo nacho.

Kama Farrah Gray alivyowahi kusema kupitia kitabu chake cha "Rich from the Inside out" kwamba, "Kujua strength yako, kujua uwezo wako ni hatua ya kwanza ya mafanikio yako"

3. Anajiheshimu (self-disciplined).

Kwamba amejizatiti katika mipango na mikakati yake, hajivunjii heshima yake na anathamini utu wake ikiwemo kuji-control na vishawishi anavyokabiliana navyo.

4. Yuko current na updated!

Siku zote huji-expose na maarifa mapya ambayo yatazidi kumpa ideas za mafanikio.

5. Hujilaumu yeye binafsi, sio watu wengine.

Kama kuna jambo litaenda ndivyo sivyo, yupo tayari kuwajibika. "Watu wanaofeli katika maisha ni wale ambao siku zote wanalaumu watu wengine kwenye matatizo yao" - Michael Bailey.

6. Ni mtendaji, sio muongeaji.

Robin Sharma kwenye kitabu chake "The Monk who sold His Ferrari" anasema kwamba "Wenye mafanikio mara nyingi wana tabia inayofanana, wanaongea kidogo, kwao kazi ndio zaidi"

7. Ana maono.

Siku zote hua na maono na ndoto kubwa. Huona picha ya mafanikio mbeleni na wala hua hakatishwi tamaa na hali aliyonayo kwa sasa.

8. Amejizatiti vilivyo kwa MUNGU.

Hayo yote hapo juu yatakua ni ubatili mtupu endapo MUNGU atakuwa amewekwa kando, BIBLE ipo clear kabisa, Baada ya Abraham kumtumikia MUNGU, alibarikiwa na utajiri usio na kifani Mwanzo 13:1-2

Malizia kwa hekima hii, "Mwanamke atakuwa bora, atakuwa na furaha mara elfu, atajiamini zaidi na atajihisi salama endapo atapendwa na ataunganishwa na mwanaume anaempenda na mwenye HOFU ya MUNGU. Mume mwenye hofu ya MUNGU hataonesha upendo pekee kwa mkewe, bali pia atamuongoza mkewe vema kama KRISTO alivyoliongoza kanisa."

Na Hakika Utafanikiwa tu!
Umeandika ukweli tuuu..nakuunga mkono..ila niamin Wanaume wa ivo huwa hawaaminiwi, niwanawake wachache wenye maono ndio hufaulu kuuona uanamme ndan ya mwanaume wahivi.

Lkn hawa wakutaka waishi maisha yasokua yao haaaaa wanaona unawasumbua sanasana atakuambia "nitolee hapa upuuzi wakoo ..... Kwendraaaaa uko nangojera zako hahahay

Huwaga nacheka sanaaaa!!...
 
Back
Top Bottom