Siyo kwa raha hizi nilizopewa Jijini Dar

Status
Not open for further replies.

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Dar ni joto ila nilikuwa Dar hii ni wiki ya tatu dah nimeenjoy sana. Nilialikwa mahali pazuri, nyumba kali mtoto mashallah kijana msafi kabisaa mpaka moyo nimeangalia ndani njee.

Dah kijana natamani niolewe saa hiyohiyo nimepelekwa nyumba ya Mbezi nzuri ningetoa picha ila je kama anaviruka njia vimnyime? Dah kijana kapanga magari kama mahafali ya shule au chuo fulani ukilala umelala kabisa.

Kitanda cha kichokozi unatoa mwenyewe. Outings za kistaarabu yaani Issa wangu dah nimeenjoy kama nini. Nimeenda na ndege nimerudi na ndege nimeona nyota jamani mpenzi wangu amenipa kile roho imependa. Yaani kuna mahali imefikia kwa kupenda huu ndio mwisho wa kupenda Issa wangu wewe ni mashallah i love youuuuuu.

WAONE MMEKODOLEA MIMACHOO NILIKUWA NATAKA KUWA RUSHA MOYO WALE WANAOTOA K BILA MPANGILIO WAJUE KUJALIWA NINI AU KWA WANAUME WACHUNGU
 
Maajabu haya...kuona kitanda tu katoa K[emoji15] [emoji15] [emoji15]

Haya ni maajabu ya karne!
Alivyooneshwa tu uwanja nje kuna magari akapagawa so kitandani kazi ikawa ni kama kumsukuma mlevi.
 
Watoto wana raha Sana.
Muda wote wanaimagine tu.!!

BTW muda bado upo. Ukifika ule wa kutafuta yeyote yule ilimradi ana kengele mbili wataelewa
 
Dar ni joto ila nilikuwa Dar hii ni wiki ya tatu dah nimeenjoy sana. Nilialikwa mahali pazuri, nyumba kali mtoto mashallah kijana msafi kabisaa mpaka moyo nimeangalia ndani njee.

Dah kijana natamani niolewe saa hiyohiyo nimepelekwa nyumba ya Mbezi nzuri ningetoa picha ila je kama anaviruka njia vimnyime? Dah kijana kapanga magari kama mahafali ya shule au chuo fulani ukilala umelala kabisa.

Kitanda cha kichokozi unatoa mwenyewe. Outings za kistaarabu yaani Issa wangu dah nimeenjoy kama nini. Nimeenda na ndege nimerudi na ndege nimeona nyota jamani mpenzi wangu amenipa kile roho imependa. Yaani kuna mahali imefikia kwa kupenda huu ndio mwisho wa kupenda Issa wangu wewe ni mashallah i love youuuuuu.

WAONE MMEKODOLEA MIMACHOO NILIKUWA NATAKA KUWA RUSHA MOYO WALE WANAOTOA K BILA MPANGILIO WAJUE KUJALIWA NINI AU KWA WANAUME WACHUNGU
Kutoa K kwa mpangilio kupo vipi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom