Je, umeshawahi kuwa na mpenzi Roboti?

Je, umeshawahi kuwa na mpenzi Roboti?

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Kama mpenzi wako huwa hapigi simu hadi uanze wewe kaa ukijua unadate na Roboti.
Kama mpenzi wako anapenda kupokea na hataki kutoa huyo ni Roboti ndugu yangu!
Kama mkiwa on the baby kiuno chake kizito kama gunia la chumvi huyo ni Roboti.
Kama mpenzi wako unamnunulia vocha halafu anaku beep huyo ni Roboti!
Kama upo kwenye mahusiano na MTU ambaye analalamika kwa mwaka Mara 360 huyo ni Roboti ndugu yangu!

Wanaodate na maroboti waje hapo watoe dukuduku la Moyoni[emoji23]
 
Back
Top Bottom