Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Japo nimezunguka nchi nyingi za kiafrica lakini sizungumzii huko Bali nchi yetu Tanzania (japo serikali imesema tutapata tabu saaana[emoji23] )
Inasikitisha sana na pia ndio hali halisi!kwamba kwenye nyumba moja ya kupanga utakuta familia zaidi ya tano!na kila mmoja na tabia zake za ajabu ajabu!wasiwasi wangu ni kuona watoto wanavyoharibika kwa kasi kubwa sana!mfano mkoa wa Dar es salaam wilaya ya Temeke mtaa wa keko asilimia 70% ya vijana waliokulia pale ni wezi,na wacheza kamari!na asilimia kubwa wameacha shule!,sasa mfano mtoto wako akikulia kule kuna asilimia kubwa anaweza kuiga tabia hizo kwa vile ndio jamii inayomzunguka!maana hata baya likifanywa Mara nyingi linakuwa zuri!
Sio keko tu wala sio manzese wala sio Dar pekee! Ni sehemu nyingi tu Tanzania!
Lakini hii yote inasababishwa na msongamano wa familia kwenye nyumba moja!
Ni ngumu sana kumfundisha mtoto wako maadili mema wakati rafiki zake wote wamepotoka!
Wanaume tupambane tujenge nyumba zetu!ili tulee watoto wetu vizuri!hata usipomaliza tatizo hili lakini itapunguza kwa asilimia kubwa sana!
Tusitishe kuuza sura kwa muda na mambo ya kutoana out! Tujenge japo vibanda kama nyumba itashindikana!
N:B;Mwanaume NYUMBA