Wanawake, Mungu awasamehe tu jamani!

Wanawake, Mungu awasamehe tu jamani!

JEKI

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
4,845
Reaction score
2,968
Hali ya uchumi kwa sasa kila mtu anaijua wanandugu, mwanamke anakomaa kukuomba pesa ya chakula, hapo hapo anapandishia na pesa ya salon/keki, unaamua kujikamua unamtumia pesa kidogo ukiamini atanunulia chakula, kesho yake anakutumia msg anasema umtumie pesa ya chakula, ukimuuliza kwani ya jana umetumia kwa kitu gani, anakujibu aliendea salon. Hivi kweli unaweza kutumia pesa kwenda salon wakati huna chakula??.
 
Sorry but ukishaona demu anatabia hizo tafadhali mteme kabisaaa.
Huyu ni mdangaji type... halafu wanakuwaga na matumizi mabaya ya pesa.

Hata ukiwapa wanachoomba pesa wanapeleka kwenye starehe.
 
Hilo ndio tatizo la mwanamke kumuacha akae nyumbani badala ujasiliamali.mi2 mke wangu nimempa majukumu ya uzalishaji ninapo kopa bank na yeye anajua hivyo ofc zetu zinapo kua hazina pesa anajua sio kusumbuana hivyo msiache wanawake wakae tu badala ya kuwa wajasiliamali mtapata tabu sana
 
Haswaa. Ukiona mtu yeye yuko kwako kwa sababu ya shida tu. Mara hiki mara kile. Yaani haishi shidah. Huyo amekugeuza mzazi
Ni kweli halafu haipendezi. Unajua hata kama mwanamke ana shida siyo mbaya akikuambia, lakini mwanamke kama anamjali mwanaume wake, anamfariji, anajua wajibu wake mfano , kumwombea, kumtakia kazi njema, kumpa pole anapotoka kazini , kuuliza ratiba za siku nzima zimeendaje, hata mwanaume akitoa hela hakumbuki hata kuumia.
Sasa unakuta mtu yeye ni hela tuu. Hajui zipo au hazipo
 
Hela itatoka kiurahisi kwangu kwny suala kuumwa. Issue ya saloon haina uziti kbs tena bora uombe j2 kdg ntaamini unaenda saloon sio unaomba kwenda saloon j4 asbh
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ni mwaka wa tatu kasoro, bado miaka saba mbele, Tumeipenda wenyeweee......
Chaguo letu mileleee..........
Na wavimbe wapasukeee.........

Hapo chini najua mnaimba wenyewe
 
Mwanamke wa namna hiyo amekosa maarifa.
Halafu hizi tabia za kuomba omba hela ni itakuwa hakutaki huyo. Siku nyingine jaribu kutafuta wanawake wa maana.
Kwako nafasi ipo? Maana mwanamke asiyeomba pesa dunia hii ni adimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom