Ni rahisi zaidi kuwa bilionea kuliko kumjua mwanamke anayekupenda kwa dhati

MuuzaStudyMaterials

JF-Expert Member
Aug 15, 2018
408
454
Kiufupi, wanawake hawatabiriki. Leo moto, kesho vuguvugu na kesho kutwa baridi. Hawana permanent state.

Nahisi ndio viumbe wa ajabu Mungu kuwahi kuumba. Atukuzwe Mungu.

For your own safety:
Usijaribu kuwapimia, utaumia. Solution ni moja tu mtangulize sana Mungu akulinde dhidi yao!
 
Umevurugwa umemchanganya mpaka mama yko

Mbona sio wote
Naamini kuna wanawake wana akili na maarifa kuliko wewe, usiwa judge kwenye mapenzi tu ukaona umemaliza

Kumbuka hakuna kitu kilicho zaidi ya SANA

Just respect them kila mmoja na madhaifu yake
 
Dogo mbona inferior hv? Content nyepesi nyepesi kama hizi huelewi, sasa The New World Order utaelewa.
 
Kuna german philosopher alikuwa anaitwa Friedrick Nietchze aliwahi kusema na kuandika
"women was God's second mistake"
Baadae akasema "God is dead" akachizi.
Ishi nao kwa akili.
 
Dogo mbona inferior hv? Content nyepesi nyepesi kama hizi huelewi, sasa The New World Order utaelewa.
Kigezo gani umechukua mpaka kujua mimi ni dogo
Kigezo gani kimekupa ushambule wanawake wote bila kuweka akiba ya maneno?

Kama content ndogo tu umefikia kusema unahisi hakuna kiumbe wa ajabu kama w.wake kubwa ni lipi

Tunapaswa kuheshimiana bila kujali jinsia wala kasoro zetu
 
Utakuwa ni mtu mmoja mdogo mwenye ego sana, hafu low calibre. Mkuu naongopa? Kuwa mkweli hahahahaha, usimaindi take it easy!
Hata sielewi umeandika nini,
Mi nimekupa kama ulivyoleta mada yako.

Unalia lia hovyooooo
 
Kiufupi, wanawake hawatabiriki. Leo moto, kesho vuguvugu na kesho kutwa baridi. Hawana permanent state.

Nahisi ndio viumbe wa ajabu Mungu kuwahi kuumba. Atukuzwe Mungu.

For your own safety:
Usijaribu kuwapimia, utaumia. Solution ni moja tu mtangulize sana Mungu akulinde dhidi yao!
:p :p :p yani imebidi nicheke kwa sauti kuubwaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom