MKALI WA MAMBO
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 211
- 146
Nipo kwenye UDA natoka K/Koo naelekea Mbagala pembeni yangu nimekaa na mwanadada mkaliii. Tumesha salimiana ila sijamsemesha chochote mpaka sasa tupo Bandari kuna foleni. Natamani kumsemesha ila moyo wangu unasita asije kunipazia sauti nifanyaje wadau ushauli. Nikaushe mpaka mwisho wa safari au........Nimwage mtamaaaa. Kumtega njiwa