muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 659
Cha kusikitisha ni kwamba, binadamu ambao tunawaombea kwa Mungu kila siku wawe na maisha mazuri na mambo yao yaende sawa, ndio hao hao hutupa sababu ya kutoona maana ya maisha na kutujazia majonzi na vidonda mioyoni ambayo huchukua muda kuisha.
Na hata majonzi yakiisha bado hatuoni tena thamani ya kupenda au kumuamini mtu. Sikiliza ndugu, maumivu yataisha na kila kitu kitakuwa sawa.
Na hata majonzi yakiisha bado hatuoni tena thamani ya kupenda au kumuamini mtu. Sikiliza ndugu, maumivu yataisha na kila kitu kitakuwa sawa.