Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Tagurfriend Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
715 Views
Utafanyaje utapo gundua kuwa mkeo amezifunga nyeti zako zisimame kwake tu. Utafanyaje? Amekufanya kila utapotongoza msichana mwingine kwenye simu anakubali akikuona tu anakukataa.Endapo akikubali...
2 Reactions
51 Replies
9K Views
Saivi wanawake ni shida tupu kati ya wanawake 30 wawili wanamapenzi ya kweli ila wengine 28 ni mwendo wa pesa, bila pesa baba hupati mwanamke na imefikia kipindi hawa Dada zetu hata suala LA...
5 Reactions
124 Replies
8K Views
KUPITIA UZI HUU NAWASIHI MJIFUNZE KUPITIA MIMI, UNARUHIWA KUULIZA CHOCHOTE PIA. Tangu nikutane na huyu mtu mambo yangu yalibadilika ghafla, nilikuwa na upendo mkubwa sana kwake kiasi kwamba...
11 Reactions
37 Replies
4K Views
Achilia mbali hela za kutoana out, ada za shule, matibabu, n.k MSOSI Ndio kitu muhimu katika familia inayojumiuish baba, mama na watoto. Hawakukoseaga kusema ukioa au kuolewa kichwa ndo...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
kwa nini wanawake nilio nao katika mahusiano ya mapenzi wakinipigia simu tuonane leo nikiwambia nimebanana na kazi huwa wananiambia " UNARINGA KWA KUWA UNAJUA K'TOMBA"?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kila nikiusikiliza wimbo wa Ndindindi wa Jaydee naona ni matusi matupu kwa Gadner, maana kuna maneno mengi ya kuudhi mara kichaa hawezi kupona n.k. Wadau kwa hili jamaa hawezi kufungua hata kesi...
2 Reactions
72 Replies
7K Views
Albert Einstein alipata kusema kuwa "If you want to understand life,look deep into nature" Sasa unapoangalia katika viumbe hai wote hakuna kiumbe jike hata mmoja mwenye wivu. Wivu wa wanawake hawa...
3 Reactions
50 Replies
8K Views
Awe mkristo na mwenye kujiheshimu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Habari za majukumu wakuu.. Nimekuja na swali langu hapa ambalo limetokana na mke wangu.. Ishu ni hivi.. Wife nimemwambia sikukuu inakaribia na mishahara hatuwezijua itatangulia au sikukuu ndo...
1 Reactions
40 Replies
3K Views
Mimi nina mchumba anatarajia kwenda Chuo Kikuu, sasa anasema nimsubiri. Je, itawezekana kumuoa au atabadilika? Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
181 Replies
18K Views
Nitapata wapi lodge nzuri iliyojificha iliyopo nje ya mji..bei iwe kati ya 15000-20000 per night?
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari wana jukwaa, Hili ni miongoni mwa vitu ambavyo wanawake wengi huwa wana vimiss katika mahusiano yao ni swala la kufika kileleni. Ofcourse inahudhunisha kwa mwanamke kufanye sex bila kufika...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Wakuu, Watu wenye makalio makubwa wengi wao wanakuwa na michubuko na wakati mwingine wanakuwa na fangasi kwenye makalio yao kutokana na makalio yao kusuguana hasa wakati wa kutembea. Hivyo...
4 Reactions
94 Replies
25K Views
Mambo tisa usiyoyajua kuhusu ufanyaji tendo la ndoa kwa nchi nyingine INAAMINIKA kwamba, tendo la ndoa miongoni mwa mambo ya kale zaidi na kwamba binadamu na wanyama wengine wasingeendelea...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Nimewaza tu kwa sauti. Endapo utamjua mwanaume anayetembea na mkeo, ni yapi maamuzi mazuri baina ya hawa watu wawili. Naomba tujadili.
2 Reactions
170 Replies
19K Views
Kwa wale mliokutana na wenza wenu mitandaoni, ambao tayari ni mume na mke. Je, ukiulizwa "ulikutana wapi na mke/mume wako", unaweza kusema wazi wapi mlikutana? iwe Facebook, badoo, instagram au...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Kuna baadhi ya wamiliki wa nyumba hasa maeneo ya mjini kudhibiti wapangaji wao wawapo kwenye mahusiano Mfano Kama kijana anakuwa na mahusiano wa wanawake wengi,baba au mama mwenye nyumba...
0 Reactions
85 Replies
6K Views
Muda si mrefu usiku huu nimekutana na mkasa wa dada mmoja kuvamiwa na wahuni na kumtafuna kwa mafungu,dada amekutwa na mkasa huo baada ya kukutana na kijana Yaani nimemkuta dada akilalamika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Sipendi watoto nawaona kama kero kwangu nikiwa sehemu kuna watoto nakua bored, kama kukiwa hamna watu nawafinya hata kama ajanifanya kitu. Mtoto akilia natamani nimchukue nimtupie nje. Sipendi...
8 Reactions
126 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…