Kwa uelewa wangu mdogo katika mahusiano ni kuwa wanaume wengi kama sio wote tunamuaproach dame huwa tunawaza tu sex, mambo ya kuoana huja baadae. Sasa basi katika kufanikisha hilo tunatumia kila...
Habari za Asubuhi wakuu
[emoji117][emoji16]Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake[emoji23][emoji116][emoji818]
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani...
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa za ndoa za wazee wetu zilikuwa zinadumu sana ukilinganisha na sasa!ni sababu kubwa nadhani ni hii!
Wazee wetu hawakuwa lele mama ni watu waliokuwa na...
Mimi nikijana sijafikisha umri wamiaka 30 bado nipo chini yahapo. Nimekuwa kwenye mahusiano permanent kama mawili toka nibalehe nakatika hayo mahusiano yote wao ndio walikuwa wameshikilia penzi...
(Wadada wenye tabia hii mnisamehe)
Kuna wadada huku wamejiajiri fb kupitia ugonjwa au kwa kutokuwa na ajira (kazi). Mdada ana friends 5000, kati ya hao tuseme anaweza kuchat na watu 3000.
So...
Wakuu nianze hivi, mimi miez kama mitatu imepita nlikuwa nakatiza kariakoo-mtaa wa Agrey na mshikaji wangu mara akapita binti mkali jamaa akanishtua nimwangalie ( kama ilivyo hulka ya wanaume...
soma hii[emoji23][emoji116][emoji818]
[emoji1505]the world is not fair
Unapiga kilimo chako unamsomesha girlfriend anafika chuo anakutana na msomi mwenzake anarudi anakwambia unanidai shilingi...
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna
dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda
kisha halafu akamuuliza "Samahani dada
unaitwa Google?".
Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwa
hivyo?". Jamaa...
Salamu wakuu,
Naanza na wanaume wenzangu, kutwa nzima upo Jf na kushindana kupost na mama wa nyumbani, kazi unafanya saa ngapi? Bora hizo posts zingekua za maana, kila siku comments "wanakuja"...
Ulimuona binti ukampenda ama ukamtamani mie sijui, ukamfuata na kumtongoza lakin akakukataa kwa vile alikuwa hajui kama unampenda kweli, lakini kutokana na umahili wako wa ulaghai ukamdanganya...
Nimeona niwashirikishe hili tukio ambalo limeota kasi sana siku za hivi karibuni,wanaume nini hasa sababu ya kupiga magoti,na kwa wanawake huwa mnatuchuliaje tunapofanya hili tendo.Nawakaribisha...
Habari za time hii wadau wa MMU. .
Naomba wake kwa waume ladies and gentlemen kwamba wale ambao walifanya vitu vingi kwa girlfriend au boyfriend wako enzi hizo kwa kutegemea utakuja kuolewa au...
Heri ya sikuku ya EId wana MMU
niende kwenye mada moja kwa moja. Kuna ka binti fulani cha mtaa wa pili karibu na mtaa ninao fanya kazi nili anzisha naye mahusiano 2017 mwishoni. Binafsi nili...
Huwa inaumiza sana. Huenda ilikuwa kupitia ujumbe mfupi wa maandishi ama alimtuma rafiki yake kipenzi aje akupe hii taarifa au labda kwa kinywa chake pasipo kujali hisia zako hata kidogo...
habari zenu wadau,
hivi wewe kama mume au mke, girlfriend au boyfriend siku inatokea unamfumania mpenzi wako na anajivinjari na mtu mwingine ni maamuzi gani uanachukua hapo kwa papo
na kwa wale...
kwenye simu nikiwa kwenye corridor za posta mpya. Mimi: Boss njaa inanisumbua naenda kula kwanza
Boss: Ukitoka kula nenda kajiandae na safari ya dodoma kesho
Mrembo kisu ile mbaya akiwa karibu...