Maoni Yenu juu Ya Hili Tafadhali.

Maoni Yenu juu Ya Hili Tafadhali.

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,177
A salaam allekyum ndugu zangu waislamu,heri ya sikukuu,na wakristo wenzangu salamu kwenu nyote

Ipo hivi ndugu zangu nina Rafiki yangu kabisaa ambae nae ana mpenzi wake na huyo mpenzi wake tunafahamiana vizuri tu kupitia yeye rafiki yangu, sasa yeye rafiki angu na mpenzi wake wako mikoa tofaut kikazi na hivi karibuni huyo shemeji yangu tuliwasiliana nae na kunieleza ana mpango wa kuja mkoa niliopo na hana pahala pa kufikia na kuniomba afikie kwangu kwa mda wa siku tatu, awali nilimkubalia sababu hata mimi nina mpenzi lakini tupo mbali kidogo kulingana na majukum yetu.

Lakini baada ya kutafakari kwa u ndani ugeni huu kidogo nikapata mkanganyiko juu ya huu ugeni ni wa heri au wa majaribu sababu alikua na kawaida ya kuja huu mkoa niliopo lakini hafiki wala haji kulala kwangu sasa iweje leo?

Sasa Wapendwa kilichonifanya kuomba ushauri wenu je ni sahihi kwa mimi kumkaribisha huyu shemeji yangu kwangu? Kua mimi nilale sebuleni na yeye chumbani? Na kama haitoshi hivi karibuni amekua akinieleza mtu wake amekua mzembe hamtimizii mahitaji ya kimwili vizuri kama kutoa malalamiko kwangu.
Ndugu zangu mnishauri je nikubali kutenda wema kwa mgeni huyu kwa kumkaribisha kwangu? Au niachane nae nimpotezee asije kwa maslahi mapana ya utu wangu.

Maoni Yenu tafadhali....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha bangi, Ongea na mchizi wako kama kweli ni mwanao !!

Inavyoonekana mmeshachatishanaaa sana namna hii

Wewe---- Jamaa Itakuaje

Demu wajama--- mmhh kwan utamwambia

Wewe-----siwezi mwambia ila akijua umefikia kwangu bila taarifa

Demu wajamaa-- hawezi kujua bana ,wacha nifikie kwako siku tatu basi .

KUTOKA KWANGU MIMI

[emoji117] Acha bangi zako, kama kweli unataka ushaur ,USHAURI WA KWANZA ULIKUA NILAZIMANUUPATE TOKA KWA RAFIKI YAKO KIPENZI , nasio kufanya mambo kibububu alafu uzuge kuja kutafuta Ushauri humu ili upate mawazo mfu ya kuhalalisha upuuzi unaotaka kumfanyia Rafiki yako.

Ulivyoandika sasa, utadhani kama mtu mwenye busaraaaaaa lkn hizo busara unashindwa kuzionyesha kwa Rafiki yako.

NINAJUA KAMA RAFIKI YAKO ANGEIJUA IYO SAFARI ,,,WALA USINGEKUJA OMBA USHAURI HUMU.

ALAFU NN, KUMUWAZIA UJINGA DEMU WA RAFIKI YAKO NIMOJA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZAKIUME !!!.

RAFIKI MDANANDA WEEE!!!!...nimimi alafu nikujue , najifanya nmechukulia poa, nikusogeze karibu, siku nikikulipa Naww utajiona Mavi .

Sitokuadhabu kwasababu demu naye ni mpuuzi, ila utaadhibiwa kwa kusaliti urafiki wangu na wewe.
 
Ni kama vile unatafuta kauhalali kwa hicho unachotaka kukifanya.

Huwa sifanyi mazoea ya ajabu ajabu na mke wa mtu aiseee maana najua ukiendekeza kubali kwa lolote litakalotokea
 
Acha bangi, Ongea na mchizi wako kama kweli ni mwanao !!

Inavyoonekana mmeshachatishanaaa sana namna hii

Wewe---- Jamaa Itakuaje

Demu wajama--- mmhh kwan utamwambia

Wewe-----siwezi mwambia ila akijua umefikia kwangu bila taarifa

Demu wajamaa-- hawezi kujua bana ,wacha nifikie kwako siku tatu basi .

KUTOKA KWANGU MIMI

[emoji117] Acha bangi zako, kama kweli unataka ushaur ,USHAURI WA KWANZA ULIKUA NILAZIMANUUPATE TOKA KWA RAFIKI YAKO KIPENZI , nasio kufanya mambo kibububu alafu uzuge kuja kutafuta Ushauri humu ili upate mawazo mfu ya kuhalalisha upuuzi unaotaka kumfanyia Rafiki yako.

Ulivyoandika sasa, utadhani kama mtu mwenye busaraaaaaa lkn hizo busara unashindwa kuzionyesha kwa Rafiki yako.

NINAJUA KAMA RAFIKI YAKO ANGEIJUA IYO SAFARI ,,,WALA USINGEKUJA OMBA USHAURI HUMU.

ALAFU NN, KUMUWAZIA UJINGA DEMU WA RAFIKI YAKO NIMOJA YA TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZAKIUME !!!.

MDANANDA KABISA!!
Sawa sioni haja ya wewe kunipanikia kias icho isitoshe binti hajaja bado, na piah sina mazoea sana kama unavyodhani, isitoshe sivuti bangi ila nimeomba ushauri kwa waugwana humu.Stress zako hazinihusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unania ya kumtafuna mkalibishe tu.. ila kama hauna hiyo nia.. mpotezee usijalbu kumkalibisha
 
Ukiwa huna nia mbaya hata akikaa siku 10 hutajinajisi jina lako bali utamlinda kwa sababu ya huyo rafiki yako. Yawezekana kakuheshimu sana na kukuona kuwa utamheshimu rafiki yako kwa kumlinda. Yu never know with women. They just trust like kids trusting their fathers when alone.
 
Sawa sioni haja ya wewe kunipanikia kias icho isitoshe binti hajaja bado, na piah sina mazoea sana kama unavyodhani, isitoshe sivuti bangi ila nimeomba ushauri kwa waugwana humu.Stress zako hazinihusu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote mkuu ,huwezi kuja kuomba ushauri humu ili hali Unayemwita Rafiki yako HAJUI.

huo ni unafiki wa Hali yajuu sana !!

Najua hampendi ukweli ,ila ukweli ndo huoo.

Eti wanakushaur umtafune ndio wenye busara hahahahah .

ACHA UDANANDA...MIMI NITAKUONA WA MAANA IKIWA JAMAA YAKO UMEMSHIRIKISHA .
......Lkn hizi ni mbwembweee km zilivyo mbwembwe nyingine.

Mimi naww tuwe marafiki.......alafu uwe unawasiliana na dem wangu kimya kimya..mpaka demu wangu aje afikie kwako kimyankimya, akae siku tatu kimyakimya ,ndipo arudi????? ...and ninauhakika Hata Huyo demu hajawahi kuja ktk huo mkoa wako ,,maana km angekua keshawah, tayar jamaa angekua natarifa,, angekua anajua wapi dem anafikia ,na anaenda kufanya nn.

Acha mbwembwe
 
Ukiwa huna nia mbaya hata akikaa siku 10 hutajinajisi jina lako bali utamlinda kwa sababu ya huyo rafiki yako. Yawezekana kakuheshimu sana na kukuona kuwa utamheshimu rafiki yako kwa kumlinda. Yu never know with women. They just trust like kids trusting their fathers when alone.
Thanks boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahisi atakumega? Si utamkatalia tu maana mwili ni wako
 
Huna lolote mkuu ,huwezi kuja kuomba ushauri humu ili hali Unayemwita Rafiki yako HAJUI.

huo ni unafiki wa Hali yajuu sana !!

Najua hampendi ukweli ,ila ukweli ndo huoo.

Eti wanakushaur umtafune ndio wenye busara hahahahah .

ACHA UDANANDA...MIMI NITAKUONA WA MAANA IKIWA JAMAA YAKO UMEMSHIRIKISHA .
......Lkn hizi ni mbwembweee km zilivyo mbwembwe nyingine.

Mimi naww tuwe marafiki.......alafu uwe unawasiliana na dem wangu kimya kimya..mpaka demu wangu aje afikie kwako kimyankimya, akae siku tatu kimyakimya ,ndipo arudi????? ...and ninauhakika Hata Huyo demu hajawahi kuja ktk huo mkoa wako ,,maana km angekua keshawah, tayar jamaa angekua natarifa,, angekua anajua wapi dem anafikia ,na anaenda kufanya nn.

Acha mbwembwe
Asante mkuu sikatai mawazo yako nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Just do it in good faith. Itakuuma sana kama shem akija kukukumbusha siku moja kuwa; Nilikuwa na shida mjini kwako ukaniziria.
Asante mkuu ushauri wako nimeuelewa si kama baadhi ya mchangiaji mmoja alivyoniquote na kuelewa ndivyo sivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kama vile unatafuta kauhalali kwa hicho unachotaka kukifanya.

Huwa sifanyi mazoea ya ajabu ajabu na mke wa mtu aiseee maana najua ukiendekeza kubali kwa lolote litakalotokea
Mtu hajawa mke wa mtu, uhalali wa kumwita mke unatokea wapi.
 
Asante mkuu ushauri wako nimeuelewa si kama baadhi ya mchangiaji mmoja alivyoniquote na kuelewa ndivyo sivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana ukimbamiza hutakuwa na hatia yoyote kwake kwa sababu bado hajaolewa huyo, pia huyo mshikaji wake hana uhalali wowote wa kumwita mke wake coz hajamwoa bado.
Ila tu ni kwamba wewe na rafiki yako wote ni wazinzi mbele ya Mungu.
 
Back
Top Bottom