Hivi kwa nini?

Hivi kwa nini?

Simple kuchagua kwingi, kuringa sana.. halaf nyodo(japo si wote) ile dharau kuwa mwanaumr akimuaproach kama hana pesa nyingi basi anaonekana si chochote si lolote.

Ktk huo muda wao wakijiona wazur wale wasio wazur wanazid kuolewa kwa kasi huku wao wakizid kuchezewa.

Unless wachange mindset zao kuwa uzur wa nje pekee hautoshi. Tabia na life style ndio mpango kwenye suala la ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuseme vyote wakati mwingine ndoa jamani ni bahati tu , kuna wengine husema kuoa mke mzuri ni sawa
na kulima miwa karibu na shule hivyo watu wanakuwa hawa wamini sana japo si kweli[emoji4] [emoji4] [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sisemei kuringa lkn kwa uzuri wao, SISI wanaume hasa wenye mijipesa halafu waume za watu ndo tunaowaharibu hawa mabinti. Kwa kaitumia pesa tunaowaharibu sana kuwanunulia vitu vya thamani kubwa, utakuta mtoto mdogo ananunuliwa Vanguard, Murano, harrier hybrid, Mara kajengewa nyumba. Mara akaunti katumiwa 10M. Sasa fikiria kijana ndo umeajiriwa juzi utampata kweli huyo?. Wakati naanza kazi man km miezi minne nilimpata mtoto mmoja wa haja, hips za hatari, km Somali alinipenda balaa lkn shida alikuwa na pedeshee liko wizara ya Maji. Lilikuwa linahonga balaa, milioni miaka ile ilikuwa inamtoka tuu. Kampangishia tabata. Shida ikawa likisafiri linaenda nae. Hii alikuja nisimuliaa wakati namwacha akaniambia alidhani ntamuoa ili aachane na huyo baba. Wakati huo Ana 20. Dah nikaona nikiona hapa nisije lea watoto wa peseshee maana mtoto ashazoea kuwa na laki mbili tatu kwenye pochi daily ataweza kunywa chai na karoti huyu?
 
Hata sisi hatujui sababu. Mwisho wa siku kila mtu ana sababu yake ya kuwa single mom. Kama ambavyo vidole havilingani basi na sisi sababu zetu hazilingani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom