NI KITU GANI KINACHOWAFANYA BAADHI YA WANAWAKE KUOGOPA KUSEX NA MWANAUME HADI NDOA AU UPELEKE KWAO BARUA

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Hebu napenda kupata mawazo yenu wadau maana unaweza kumfikiria vibaya mwanamke kumbe nyuma ya paziaa kuna vitu gani wanajaribu kuvificha au kutufichaa tusivijuee.

Au papuchi ina utata maana wanawake katika hilo swala wamekuwa wakali mnoo mwingine atakwambia tupime kwanza , halishiii hapo anakwambia pia uniletee barua nyumbani,mwingine kishika uchumbaa kwanza,mwingine tena atakwambia mpka ndoa lakini mwisho wa siku unagundua kuna jambo au vitu wanavifichaaa hebu tuambizaneeee wadau wanawake wanatuficha nini kwani

Tusaidiane ndugu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom