Kushindwa kusimika. Ilishawahi kukutokea? Nini kinasababisha?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,638
4,522
Nataka nianze kwa kusema kuwa mimi ni mzima kabisa. Na kama kungekua na dawa ya kupunguza nguvu za kiume ningetumia. Maana katika utu uzima huu wa 45+ bado nina uwezo wa kukimbia hata round tisa. Shida ni kuwa kama miezi miwili iliyopita niliokota kamchepuko sehemu. Cha kushangaza ni kuwa mjomba alikataa Katakata kufanya kazi aliyotakiwa kufanya siku hiyo. Ikabidi nisingizie ugonjwa. Mwanzangu akaondoka japo kwa shingo upande. Hali hii ilishanitokea tena huko nyuma siku ya kwanza wakati bado ndio ninajifunza miaka mingi huko nyuma. Sasa mpaka sasa najiuliza tatizo ni nini?
 
Utarudi tu naww, ukilalama

"Ndoa yangu matatani baada ya mke kufuma picha na sms za mchepuko"

Kibaya zaidi kamchepuko kenyewe ni kabayaaaaaaaa shapeless, Faceless ,buttockless alafu nikaswahiliii kanatukana tukana matusi ovyo
Mkuu huwa sina sense ya ulalamishi...
 
Huyo mchepuko hana mvuto, na pia ni swala la hofu i.e labda ndo ilikua unaanza kuchepuka etc ila kama mwanamke hana mvuto huwezi enda round nyingi
Kaka kama ni mvuto yule mtoto sio wa kawaida aisee. Ni zile shepu nazopedelea.
 
Huo umri ni majira ya jioni kwa mtanzania. Anza ibada mkuu, jenga mahusiano na muumba wako
 
Back
Top Bottom