Dah nina mwanamke Wangu kanipgia simu eti kaota nimefariki wadau hapa nafikiria kumuacha amekua na mawazo ya ushirikina muda wote alafu anasema eti nimuoe kuna ndoa hapa????
Jamani jamani yani mke mwanamke wangu anapenda sana kuchunguza cm yangu text zangu afu pia akiona namba ya mwanamke kwenye cm yangu akimtilia shaka tu basi anamtongoza kupitia cm yangu alafu...
Mwaka 2009 nilikuwa Mkoani Singida kikazi. kipindi hicho nimehamishiwa huko nilishazoea mazingira na watu wa singida kwa ujumla. nilikuwa na dada yangu mdogo alikuwa anasoma SAUT Mwanza. hivyo...
Habari wakuu,
Kuna aina za hasira za wanawake hasa wanapoudhiwa na wapendwa wao. Ukishaona kakasira muache, hasira zikiisha mambo yatakuwa poa. Muhimu umjue hasira zake zilivyo. Mi wangu ananuna...
.Kwanza,hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea hivyo anakuwa mtu wa masharti, mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
Pili,anapata kigugumizi...
Jana tu nimetoa uzi kwamba nilimuambia mke wangu kiasi cha mshahara wangu nakuona kama nimefanya kosa la jinai.wadau mbali mbali wakakoment na kutoa yao japo asilimia kubwa walinilaumu sana sana...
Siyo Siri kama kuna Kizazi cha Watoto wa Kiume nchini Tanzania ambao wanapelekeshwa ama na Wapenzi wao au Wake zao basi ni hawa waliozaliwa kati ya miaka ya 1986 hadi mwaka 2000. Wengi wao ndiyo...
Juzi juzi hapa kama miezi 3 iliyopita nilikua Mwanza.
Katika mizunguko yangu nikamkumbuka binti mmoja mrembo ambae nimemtongoza toka mwaka 2015 ila tulikua hatujawahi kukutana live anipe tunda la...
Heshima kwenu waungwana
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ni sababu zipi ambazo humfanya mwanamke amwambie mpenzi wake kwamba awe anamcheki mara kwa mara iwe kwa sms au kwa kumpigia kabisa ...
Nina demu ambaye yeye ndio alinitongiza na ana mtoto mdogo. yeye ana miaka 18 na mimi nampenda but sijawahi hata siku moja kufikiria kufanya naye mapenzi .Na ndio kinacho nishangaza kabisa na ana...
Kuna huu msemo unaosema kwamba "mwanaume by nature yupo kwaajiri ya wanawake wengi" na ndio maana ni ndoa chache sana ambazo hazihangaiki na michepuko
Siku hizi kama mwanaume yupo kwenye ndoa...
1. Yuko busy sana na Kazi na kutafuta Pesa / Fulusi?
2. Ni dalili ya Ugonjwa wa Uchafu unaomuanza?
3. au ni Moja ya Silaha yake pale akutanapo na Adui ili Nyasi zimkate vizuri?
4. Anakupa Ujumbe...
Wakuu,
Nina mke wangu Nesi,
Wakati anasoma, alisoma na mtoto wa kigogo mmoja mkubwa nchi hii
Sasa sijui hakumwona wakati huo chuoni.. Mimi nimeopoa jiko, nimelitunza, sasa analiona limewiva...
IKIWA UTAKUBALI KUOLEWA NAMI BASI USINIPIKIE HIVI
Tembele katika upishi wake wote.....Hii kwangu nikiliona tu nashiba ghafla...Nawachukia hadi wauzaji wake sujui kwa nini....Sina aleji nayo ila...
Habari zenu,
I hope nyote mu wazima na mnaendelea vizuri na majukumu.
I have a huge problem, actually nina matatizo mengi kifamilia ila naomba niwaeleze hili ambalo limenishangaza sana sana and...
Sizunguki naenda moja kwa moja kwenye mada..
Imekuwa ikiongelewa sana hapa jf na watu weng kuamini kuwa mwanamke kuwa na bwawa ni kutokana na kuingiliwa au kushiriki na wenye magobole makubwa au...
Wakuu kama ilivyo juu naombeni ushauri,
Wife nilimtajia kiasi cha mshahara wangu kutokana na umakini wake na kutokuwa na tamaa ila naona kama nimekosea hivi, maana deni kidogo utasikia mwezi huu...
Tulikua tumezoea mtu mwenye pesa anaweza akafanya jambo lolote, mimi tofauti yangu mtu mwenye pesa anaweza akafanywa chochote,..kwa hiyo lazima mjue hii tofauti" RAIS MAGUFULI