Yaliyomkuta Jirani yangu...

Yaliyomkuta Jirani yangu...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,494
Reaction score
12,466
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne usiku Wife huyu hapa mlangoni kuangalia miguuni ndo ikawa kama hivi😂
IMG-20180908-WA0002.jpg
 
Unwambia tu wife wahuni wameniibia kiatu nimekutana na msamaria mwema akanipa hiki nisipekue.
Me a wife "oohh,pole honey-hubby,ndio maana nilikuwa na wasiwasi mnoo[emoji22]...Mungu ni mwema jamanii umerudi home salama,nakupenda sana sana hubby wangu,,kisses muah[emoji8][emoji8]..karibu chumbani upumzike"....lol
 
Asante wife....Siunajua nilivyombabe nimeyakumbiza hayo manyan'gau limoja nimelivuja mguu...

Sipendi ujinga mimi. Eeh leo umenipikia nini maana wewe mwanamke utaniua na madiko diko.[emoji6]
 
Hahahahaa(in mahaba's voice) nakujua hubby wangu,zile mbio zako za uwanjani nahisi wamekoma hao ma bazazii leo,...nimekupikia kile chakula chako kitaaaaammm unachokipenda bila kusahau pilipili yako mbilimbi hubby...."
 
Kwanini unanitia vishawishini lakini?
 
Huyo mke akikuelewa kwa fix hii utatisha sana[emoji23]
anaelewa tena vizuri tu...fika hapo unahema ma jasho jingi atakuelewa.

kama una gari fika piga honi nyingi za kuogofya atakuelewa na pole nyingi.
 
Unamwambia hii ndo fasheni mpya imeingia Leo
 
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne usiku Wife huyu hapa mlangoni kuangalia miguuni ndo ikawa kama hivi😂
View attachment 860622

Hahahahahahahahahahaaa
As a man, unatafuta kisa chochote ambacho kimekuchanganya akili na hapo Hata hujui kama umevaa kiatu ambacho si chako.

Ila nimestuka maana hizo tarazo kama za nyumbani kwangu....

Nimejaribu kuisoma hiyo miguu bado sijaipata vizuri. Naangalia reflection ya uso na sauti kutoka kwenye hiyo miguu.

Where's my memory..... Kasie....
 
Unwambia tu wife wahuni wameniibia kiatu nimekutana na msamaria mwema akanipa hiki nisipekue.

Kama ni mie ningekujibu keengeeeh weeh karibu ndani kesho urudishe kiatu cha watu na wewe uchukue chako.

Halafu naishika kidogo na kuipapasa nikiwa hapohapo mlangoni, nakukunong'oneza. Fanya makaratee yoote unipe vyangu vitatu ndo ntalalana hakuna kutegea.
 
Asante wife....Siunajua nilivyombabe nimeyakumbiza hayo manyan'gau limoja nimelivuja mguu...

Sipendi ujinga mimi. Eeh leo umenipikia nini maana wewe mwanamke utaniua na madiko diko.[emoji6]
Aisee nimecheka sana!
 
Kama ni mie ningekujibu keengeeeh weeh karibu ndani kesho urudishe kiatu cha watu na wewe uchukue chako.

Halafu naishika kidogo na kuipapasa nikiwa hapohapo mlangoni, nakukunong'oneza. Fanya makaratee yoote unipe vyangu vitatu ndo ntalalana hakuna kutegea.
Jamani mbona tuna-nyegeshana Kasie mahaba?
Vibaya hivyo lkn!
 
Back
Top Bottom