Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Kwamba jamaa usiku wa jana alikuwa gesti na mchepuko,huku na huku umeme si ukakatika na hakuna genereta, basi bana kakurupuka kurudi nyumbani bila kujikagua hamadi anafika home mida ya saa nne usiku Wife huyu hapa mlangoni kuangalia miguuni ndo ikawa kama hivi😂