Kipi kizuri kwa wanawake, kuachwa na hamu au kumalizwa kabisa?

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,417
7,732
Jana jioni natoka kazini kuna wadada wa2 tunafanya kazi mtaa mmoja waliomba lifti niwasogeze, huyo mmoja ni mdangaji kiasi sasa katika story wakamuongelea jamaa mmoja wa mtaani alikua na mahusiano nae, nikamtania naona unataka kuolewa mke wa 2, akasema "kwa yule hapana namlia hela zake tu, mtu anakufanya hadi hamu inakata wiki mpaka mwezi huna hamu nae"

Akaendelea, "mi napenda tufanye kwa staha sio kwa fujo hadi kuumizana, nataka nikitoka hapo na kesho ntake tena yaani unabaki na hamu ila unahairisha sababu ya muda au kuchoka sio unatoka hapo wiki nzima unasubiri K ipoe"Mwenzie nae akadakia kwa kuunga mkono hoja ya mwenzie,

Sasa nikabaki najiuliza kuna wanaowasifia kutoskia hamu hata mwezi kwa kuchezea shughuli pevu, wengine huku wanataka walale na hamu nayo kesho/siku chache baadae waendelee na nyie wanawake wa humu jf hili kwenu limekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuachane na waliyokuwa wanaongea, kwanini wamekuwa comfortable hivyo kuongea hayo mbele yako mwanaume?wanakuchukulia poa

Sent using Jamii Forums mobile app
nimeshangaa sana
yaani ingekuwa mimi ningepaki pembeni kisha nalitia ugonjwa gari ili mradi waondoke nisisikilize hizo stori
yaani watu wengine hawana aibu kabisa mpaka wanatia aibu
 
Back
Top Bottom