Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Gold digger ndilo jina maarafu South Africa kwa vijana wanao date na wanawake waliowazidi umri, hivi karibu jina limebadirika na sasa wanaitwa /tunaitwa Ben 10!!. Kuna siku katika mishe mishe zangu nilikutana na Mkongo anayefahamu kiswahili kile chenye rafudhi ya Kikongo, huyu ni pusha maarufu wa dawa ya kurefusha muda wa kufikia kilele kwa mwanaume (men's delay medicine) maarufu kwa jina la Kasongo au vumbi. Baada ya kunipatia hilo vumbi na matumizi yake basi alinipa wosia mmoja ambao nikiukumbuka huwa nacheka tu na kujisemea "kweli wazamiaji tuna vituko " aliniambia....... Elengi Papa, unikumbuke papa kama utapewa zawadi ya gari na Cheri yako




