Swali hili nalilenga hasa kwa wanaume wenzangu ingawa hata wanawake wanaweza changia
Kwasisi wanaume huwa hatupendi kuonekana kwamba ni wadhaifu mbele ya jinsia ya kike hata kama ukweli upo hivyo pindi unapotokea mfarakano kwenye mahusiano mana tunaamini kwamba mtoto wa kike akishajua unampenda na huwezi kumuacha basi atakutesa sana.
Inapotokea umetofautiana na mpenzi wako kiasi cha kukatiana mawasiliano kwa muda,ni nani hasa kati ya mwanamke na mwanaume ambaye anapaswa kuvunja ukimya pindi inapotokea hali hiyo ?
Karibuni