Nashindwa kuacha kufikiria mapenzi, nifanyeje?

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,771
Reaction score
126,707
Nimekuwa nikidate na girlfriend wangu kwa takribani mwaka mmoja sasa. Wote tumekubaliana tusishiriki tendo la ndoa(kugegedana) hadi pale tutakapofunga ndoa/kuoana.

Tumekuwa wawazi juu yetu kwa kila jambo kiasi kwamba kila mmoja anajua kwa undani tabia ya mwenzio na kutufanya tuwe na mahusiano imara.

Tunasali pamoja, tunasoma vitabu vya dini pamoja na tuko karibu zaidi ambapo kila siku lazima tuonane kujuliana hali.

Lakini tatizo langu kubwa ni kufikiria mapenzi(kugegeda) kila mara kuliko kawaida. Najua kufikiria mapenzi ni jambo la kawaida kwa mwanaume yeyote rijali lakini kwangu imekuwa ni kwa kiwango cha juu zaidi.

Nafikiri Mungu ananiambia achana na fikira za mapenzi, fikiria juu ya maisha yako lakini nashindwa kuacha kufikiria mapenzi.

Najiuliza ivi kuna mtu anaweza kukaa kwa muda mrefu bila kufanya mapenzi akiwa na afya njema kabisa bila kuwa na matatizo tofauti tofauti? Kwangu itachukua muda mrefu kabla sijaoa na sijui itachukua muda gani.

Naomba unisaidie juu ya hili tatizo ili kutunza uaminifu wangu kwa Mungu na kwa Girlfriend wangu.

Alinena rafiki yangu wa muda mrefu tangu utotoni akihitaji msaada kutoka kwangu
 
Kama mlishafanya mkuu kwann msiendelee hahahaha ingekua hamjawahi kufanya kabsa sawa[emoji38]
 
Hakuna tatizo popo. Ila inahitaji moyo. Kiongozi mna muda gani na huyo mwanamke?
 
we umemshauri nini boss
Nimemshauri awe na msimamo wake jinsi alivyokubaliana na mpenzi wake na pia kujitahidi kiwa karibu sana na mambo ya kiimani/ibada.

Ushauri wenu pia unahitajika hapa ili tumsaidie huyu ndugu yetu
 
Aisee umemuuliza ni baada ya miaka mingapi ndio atakuwa tayari ?
Siwezi kumshauri achepuke maana anaweza kupotelea huko huko.
Jambo la msingi amueleze mwenzake hali yake ilivyo hakuna namna au afanye kazi ngumu ambazo zinachosha mwili/mazoezi
 
Hajasema ni baada ya muda gani maana anategemea mambo yakimunyokea kuweza kuafford mahitaji ya kifamilia/ndoa ndio ataoa
Amweleze mwenzake tu ukweli wa mambo ili kuepusha lawama baadae au afanye kazi ngumu ambazo zinachosha au mazoezi. Hayo mawazo yanakuja mara nyingi mtu ukiwa idle.
 
Shukrani kwa ushauri wako, nitamfikishia uhusika na ni matumaini yangu utaufanyia kazi na kupata matokeo chanya
 
Pole sana...

Kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu hata vitabu vya dini vimeonesha binadamu yaliwashida na kuvunja amri...

Kama ipo na haina shida yoyote, wewe fanya tu...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom