Ni heri mtu uishi peke yako au kuishi na rafiki chumba kimoja ?

themagnificient

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
302
1,000
Nimeona niiweke hii mada sababu nimekuwa nikiishi na rafiki yangu mmoja nimetoka nae sekondary baada ya kumaliza chuo tukapanga chumba kimoja na kila mtu akapata kazi, sasa baada ya mda jamaa akampata mwanamke wake akaenda kupanga nae chumba wakawa wanaishi wote yeye na dem wake

So kila mtu akawa na maisha yake, mimi nikaendelea kukaa kwenye kile chumba, sasa jamaa ikafika mda akaharibu kwa mpenzi wake sababu ya umalaya hivyo akamkimbia kwa kisingizio cha kukaa karibu na kazini ili asipate tabu ya usafiri, jamaa akarudi hapa geto ni mwaka sasa hachangii kodi na kazi anafanya, akipata hela ni bata, uamalaya na kumuangalia mwanamke wake tu, huku kodi ya chumba hapa nikipigika mwenyewe

Mara nyingine huwa anafungua begi langu anafika hadi sehem nmayoweka akiba yangu na kuchukua pesa zangu bila kuniomba kwa madai kuwa benki mbali, hadi naona hali ya hatari mbeleni maana sim banking ipo, na ukimwambia ukweli anakuwa mkali

Sasa kinachonikera zaidi bado hata hichi chumba nilichomuhifadhi analeta malaya kila kukicha hadi nakereka, na kumfukuza nashindwa sababu nimetoka nae mbali

Ushauri wenu jinsi ya kumkimbia kistaharabu...
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
18,416
2,000
Mzee baba unamuonea soni msh'kajii,.damu yako??huyo kwanza unamchana laiv bila chenga,.yaani unampa black & white,. Kama haeleweki muhame unaleaje uozo??ushajua tabia zake na zinakunyima raha then unamtazama,.mchane buana kama hawezi kuhama ww muachie chumba sepa,.

Maisha mafupi haya kusumbuana-sumbuana,.
 
Mallia

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
334

True
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,733
2,000
Nimeona niiweke hii mada sababu nimekuwa nikiishi na rafiki yangu mmoja nimetoka nae sekondary baada ya kumaliza chuo tukapanga chumba kimoja na kila mtu akapata kazi, sasa baada ya mda jamaa akampata mwanamke wake akaenda kupanga nae chumba wakawa wanaishi wote yeye na dem wake

So kila mtu akawa na maisha yake, mimi nikaendelea kukaa kwenye kile chumba, sasa jamaa ikafika mda akaharibu kwa mpenzi wake sababu ya umalaya hivyo akamkimbia kwa kisingizio cha kukaa karibu na kazini ili asipate tabu ya usafiri, jamaa akarudi hapa geto ni mwaka sasa hachangii kodi na kazi anafanya, akipata hela ni bata, uamalaya na kumuangalia mwanamke wake tu, huku kodi ya chumba hapa nikipigika mwenyewe

Mara nyingine huwa anafungua begi langu anafika hadi sehem nmayoweka akiba yangu na kuchukua pesa zangu bila kuniomba kwa madai kuwa benki mbali, hadi naona hali ya hatari mbeleni maana sim banking ipo, na ukimwambia ukweli anakuwa mkali

Sasa kinachonikera zaidi bado hata hichi chumba nilichomuhifadhi analeta malaya kila kukicha hadi nakereka, na kumfukuza nashindwa sababu nimetoka nae mbali

Ushauri wenu jinsi ya kumkimbia kistaharabu...
Anakitia kitanda chako nuksi na maroho machafu ambayo ww ukilala yatakuingia. Kitanda chako si uwanja wa unzinzi.
mpe za uso.. fukuza kabisaa yani maana huyu anatakuletea mabalaa.
Akirudi next time akute mabegi nje
 
Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,756
2,000
Sio tu rafiki hata ndugu mara nyingi mapenzi yenu na upendo katika udugu wenu unakuwa mzuri pindi mnapokuwa mbali mbali lakini ukaribu wa namna hiyo ni lazima mtaingiana maungoni muda si mwingi
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,409
2,000
Nimeona niiweke hii mada sababu nimekuwa nikiishi na rafiki yangu mmoja nimetoka nae sekondary baada ya kumaliza chuo tukapanga chumba kimoja na kila mtu akapata kazi, sasa baada ya mda jamaa akampata mwanamke wake akaenda kupanga nae chumba wakawa wanaishi wote yeye na dem wake

So kila mtu akawa na maisha yake, mimi nikaendelea kukaa kwenye kile chumba, sasa jamaa ikafika mda akaharibu kwa mpenzi wake sababu ya umalaya hivyo akamkimbia kwa kisingizio cha kukaa karibu na kazini ili asipate tabu ya usafiri, jamaa akarudi hapa geto ni mwaka sasa hachangii kodi na kazi anafanya, akipata hela ni bata, uamalaya na kumuangalia mwanamke wake tu, huku kodi ya chumba hapa nikipigika mwenyewe

Mara nyingine huwa anafungua begi langu anafika hadi sehem nmayoweka akiba yangu na kuchukua pesa zangu bila kuniomba kwa madai kuwa benki mbali, hadi naona hali ya hatari mbeleni maana sim banking ipo, na ukimwambia ukweli anakuwa mkali

Sasa kinachonikera zaidi bado hata hichi chumba nilichomuhifadhi analeta malaya kila kukicha hadi nakereka, na kumfukuza nashindwa sababu nimetoka nae mbali

Ushauri wenu jinsi ya kumkimbia kistaharabu...
Mimi nawaambia Tanzania tuna matatizo makubwa mno kuliko tunavyofikiri. Huyu hapa anakwambia ni mtu aliyesoma mpaka sekondari halafu akaenda chuo! Na bado anakuja kuuliza asaidiwe kutatua ''tatizo'' kama hili! Hizi akili ndito zitaleta mabadiliko katika nchi yetu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom