Msaada tutani: Nimpe au nisimpe?!

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
17,280
16,556
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE
🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Hahaha mi nikajua ndo ka story kameanza hivooo! Mwambie Ampe tuu sasa kama ndo yenyewe wanaifanya inakuwa na process ndeeeefu mara send off mara fulani mpaka aje kutoka uingereza arudi sio leo na hao wamezoea kukunana hapo kila mmoja anamtamami mwenzie,si support wanacho fanya ila kama ni kweli wameokoka genye zinatoka wapi na kutamaniana kabla ya ndoa,wadonoane tuu badae wataomba tobaa
 
Sweet marry mother of juses.......

Miaka 33 still BK ni nini iyo alikuwa anachukulia phd nini iyo BK

Apo ampe tu jamaa aonje ajue kuwa mdada yuko silidi ili afungue kizibo icho
 
Hahaha mi nikajua ndo ka story kameanza hivooo! Mwambie Ampe tuu sasa kama ndo yenyewe wanaifanya inakuwa na process ndeeeefu mara send off mara fulani mpaka aje kutoka uingereza arudi sio leo na hao wamezoea kukunana hapo kila mmoja anamtamami mwenzie,si support wanacho fanya ila kama ni kweli wameokoka genye zinatoka wapi na kutamaniana kabla ya ndoa,wadonoane tuu badae wataomba tobaa
Ahahahahha we chizi kweli! Nimecheeekaaa kiru!

Miaka 33 BK, hiyo labda bikra ya kuchongwa au ya kutumia ndimu na coka
We nawe bwana tupe msaada kama hauna basi wapishe watu wa comment wenye kutoa misaada
Unataka uaminishwe vepe labda kuwa ana bikra?!
 
Sweet marry mother of juses.......

Miaka 33 still BK ni nini iyo alikuwa anachukulia phd nini iyo BK

Apo ampe tu jamaa aonje ajue kuwa mdada yuko silidi ili afungue kizibo icho
Hehe kumbe unajua mamake Yesu nae alikuwa Bikra ee?!

Basi ndo ivyo na huyu ana neema iyo tena dogo la kichaga!

Akimpa akakimbia sa atafanyaje dogo langu?!
 
Abeee?!
Ahahahaa


Che! Akimpiga bubaaa je?! Unataka mdogo wangu aanze kuwashwa washwa chini?! Afu nani atamsaidia jamaa akikimbia?!
Mwambie aanze kuwashwa ndo atajua wakunaaji wanaptikanaje,sasa kwani hapo hawezi mpiga bubaa,kama jamaa anawashwa na yeye hataki kumpa tamu,ataenda kule anako pewa
 
wanaume wengine wanaweza sana mapenzi ya tamthiliya, hivi unasemaje huyu ni mpenzi wangu na hujawah kugegeda? Inapitaje kipindi chote hicho bila kuona ndani na bado umo tuu... lazima utoe mzigo ndiyo mambo yakae sawa
 
If you are a man, never ever be a cockblock to your fellow man. May our colleague be given what made God punish us by sending us to earth.

Na apewe tu huyo jamaa.
 
Hapo ndio mnatakiwa mfahamu vijana Bikira sio hoja ya ndoa, bibie na Bikra yake ana china tu 33 si age ndogo atii...!! Mwanaume humuoa mwanamke anayeona atamfaa maishani bila ya kujali huyo mwanamke ana nini (ana bikira au hana,kwake ni jambo dogo) mwambie huyo Dada awe makini maana Menopause itamkutia na Bikra yake hivyo hivyo sasa sijui itakua na faida gani, kama ndoa haipo bora angejipatia japo katoto hata ka moja
 
Za weekend wana MMU?!

Me jaman hizi kesi hizi mtanifunga sasa nakosa majibu ivooo!

Basi akaja dogo wangu m1, analalamika kama anataka kufa.. kupenda nako kubaya kiru!

Dada Penny, me nipo na mpenz wangu tunapendana sana, tupo kwenye mahusiano miaka 6 sasa, miaka 3 ya kwanza tulikuwa chuoni, mapenzi yakawa kwenye simu, skype, whatsapp, simu..boyfriend anasoma Bondeni mimi nasoma Uganda Makerere

Tulipotua Bongo baada ya shule kuisha tukaendelea na mahusiano live sasa, wote tumeokoka ivoo yale mambo ya kudonoana na mechi hamna mpaka ndoa, tukikutana ni stori za hapa na pale, hugs na kiss za mashavu imetokaa. Ndio wokovu sasa tunafanyaje, Yesu ndio kaagiza hivyo sisi ni kondoo tunatii

Money Penny: haleluyaaa! Sasa dogo, huyo boyfriend ni shoga au hanisi au?! Unauhakika hapigi nje kweli maana wokovu wa wanaume anaujua huyo huyo mwanaume mwenzao Mesiah! Kwanini unamfungia miguu labda?!

Dogo: Me hayo sijafuatilia, kama anapiga nje ni yeye shida ninayo mimi,

Money Penny: shida ipi sasa wewe dogo

Dogo: tatizo mimi Bikra

Money Penny: Bikra?! Una miaka mingap?!

Dogo: miaka 33

Money Penny: Tobaaa! Yesu ma Maria na Yisefu! 33 bado umepigwa bandeji, dogo hongera sana, je bwashee hajapasua glass kabisa?!

Dogo: ndio anajua, nilishamwambia mwanzo wa mahusiano yetu ila ndio hivyo sasa wokovu unataka tufunge miguu.
Hapa nimesubiri weee naona jamaa hanioi wala dalili hamna na umri unakwenda, sasa swali langu nakuuliza NIMPE papuchi anibikiri au NISIMPE?!

Naona kama nikimpa nitamkosa hatonioa au nikimpa atanioa akiikuta au nikimpa kwasababu amesubiri sana hataona thaman yake anaweza akapiga weee akichoka anasepa..Dada penny nafanyaje?! Embu nisaidie nimpe au nisimpe?!

Du mimi nimekosa pozi, naombeni msaada wenu wana MMU JF, je AMPE AU ASIMPEE?!



Nipe mawasiliano yake nina mengi ya kumshauri personal
 
Back
Top Bottom