Tabia ya wanawake kuomba pesa kabla ya kutoa royal service

Tabia ya wanawake kuomba pesa kabla ya kutoa royal service

Mgegedo

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
91
Reaction score
89
Hii tabia imekithiri sana kwa wadada walio wengi kupenda kuomba pesa kabla hata ya kutoa papuchi.Unakuta mtu umeingia nae kwenye mahusiano hata wiki mbili hazijaisha lakini kashaanza kutangaza njaa ilhali bado hujaonja utamu wa papuchi yake.

Ni sawa hatukatai kuomba msaada wa kifedha kwa mpenzi wako inaruhusiwa ila inatakiwa mtoto wakike usome alama za nyakati.We unajua kabisa huyu ninaemuomba pesa ni mpenzi wangu mpya ambae hata utamu au uchungu wa papuchi yangu hajaujua so ni hali flani ambayo haimek sense kwakweli.

SIjala papuchi ushaanza kunipiga mizinga siku nikifanikwa kula si ndo nitajuta kukufahamu.

Badilikeni kidogo dada zetu, onyesheni hali ya uvumilivu kidogo ili kuepuka kueleweka vibaya na wapenzi wenu hasa kwenye hatua za mwanzoni za mapenzi yenu.

Kama unahisi uzi huu kwa namna moja au nyingine umekukela kunywa sumu au jitundike

Watakaotoa povu ndo hao hao wenye tabia hizo.
 
Piga mbupu mpaka wanyooke asikutishe huyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee,.
Kuna watu wanapata tabu saaaaana,.[emoji23]
 
Wadada siku hizi hata kuzoeana nao tu kwenye mitandao ya kijamii ni mashaka
Kabisaaaa. Kuna mmoja nilichat nae siku mbili nikapigwa bomu la 70,000 sijawahi onana nae. Hanijui simjui.
Nikamwambia hela ninayo kwa njaa ulionyesha hata 500 sikupi. Nka block hapo hapo
 
Hii tabia ndio habari mjini. Ombaomba united, unakutana na mtu mara ya kwanza anaomba pesa utadhani alikuwa anakusubiri miaka yote.

Yes sikatai mtu asiudumiwe, ni wajib wetu kama watoto wa kiume lakin tunahudumia mdada mwenye akili.

Siku moja siku mbili unalia njaa kwakweli sitoweza hata kukupa 100. Maana ni big red flag.. inaonyesha una dhiki sana.
 
Back
Top Bottom