Deva
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 1,237
- 1,819
Natumaini mko salama.
Chukulia wewe unasoma chuo cha afya uko karibuni kumaliza.
Dada yako kapata mchumba, wametambulishana nyumbani, posa kila kitu taratibu zikafuatwa, basi ikabaki kutoa mahari.
Baada ya muda umesikia wameachana, kisa nini? Huwezi kujua ni mambo ya wawili, ila tatizo sio hilo, tatizo ni kwamba yule jamaa ambaye alikuwa ni shemeji yako katika kufahamiana akakuambia kuwa anamiliki hospitali binafsi, ambapo alikuahidi kuwa ukimaliza tu, nenda kwake atakupa mahali pa kujishikiza ufanye kazi.
Sasa je? Kama ni wewe utaenda? Na kama ndio, yule jamaa utamuitaje.
Hebu toa maoni yako.