Unapomla denda au kunyonyana ndimi kuna hali nzuri huama kutoka kwa kila mmoja wenu na ni tiba...

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Wataalamu wa Afya wamethibisha hakuna kesi ya maambukizi ya Ukimwi yaliyotokana na kulana denda hivyo denda ni salama

Asili ya denda ilianzia kwa Ndege mbalimbali kama njiwa,na kama tujuavyo njiwa hutumika na Malaika ktk mambo mbalimbali hivyo ndio maana hata Uingereza na baadhi ya nchi za Ulaya wamefugwa kwa maelfu

Ugundunzi mwingi unatokana na tafiti zilizofanywa kwa Ndege kama Ndege za abiria na kadhalika Hivyo hata ktk malavidavi waliiga kwa ndege kuanzia kinda anapolishwa hats njiwa wakiwa wakubwa.

Kuna kupeana uhai ktk denda ndio manager hata akizima unashauriwa umpe punzi kwa njia ya mdomo ila awe mwanaume kwa mwanamke na si jinsia moja

Upo ushahidi mkubwa kuwa tabia hunyonyana toka kwa kila mmoja na mambo mengine ya bahati upeana

Wazungu wanazingatia denda hata wasipofanya mapenzi

Waphilipino pia

Nb:kumbuka muungano wa Ulaya umeunganishwa tangu enzi za Wafalme walipokuwa wanaoa ufalme mmoja na mwingine mfano ufalme wa Ufaransa ulioa Uingereza,pia king Henry alioa Ufaransa vile vile Ureno mfalme wake alioa Uingereza japo mfalme wa Ureno alikuwa mzee hivyo alikimbiwa na make
Hii inaudibilmtisha kuna nguvu ktk mapenzi na denda

Instagram:kaukwaju
 
Umesema kweli kunywa soda nakuja kulipa mimi nikipata denda tu kutoka kwa Mama zakaria naridhika moyo unatulia
 
Kwa uzi wako tu nimeona kuna ulazima wa kuanzisha kiwanda cha condom za mdomo
 
Wataalamu wa Afya wamethibisha hakuna kesi ya maambukizi ya Ukimwi yaliyotokana na kulana denda hivyo denda ni salama

Asili ya denda ilianzia kwa Ndege mbalimbali kama njiwa,na kama tujuavyo njiwa hutumika na Malaika ktk mambo mbalimbali hivyo ndio maana hata Uingereza na baadhi ya nchi za Ulaya wamefugwa kwa maelfu

Ugundunzi mwingi unatokana na tafiti zilizofanywa kwa Ndege kama Ndege za abiria na kadhalika Hivyo hata ktk malavidavi waliiga kwa ndege kuanzia kinda anapolishwa hats njiwa wakiwa wakubwa.

Kuna kupeana uhai ktk denda ndio manager hata akizima unashauriwa umpe punzi kwa njia ya mdomo ila awe mwanaume kwa mwanamke na si jinsia moja

Upo ushahidi mkubwa kuwa tabia hunyonyana toka kwa kila mmoja na mambo mengine ya bahati upeana

Wazungu wanazingatia denda hata wasipofanya mapenzi

Waphilipino pia

Nb:kumbuka muungano wa Ulaya umeunganishwa tangu enzi za Wafalme walipokuwa wanaoa ufalme mmoja na mwingine mfano ufalme wa Ufaransa ulioa Uingereza,pia king Henry alioa Ufaransa vile vile Ureno mfalme wake alioa Uingereza japo mfalme wa Ureno alikuwa mzee hivyo alikimbiwa na make
Hii inaudibilmtisha kuna nguvu ktk mapenzi na denda

Instagram:kaukwaju
Kumbukeni usafi wa vinywa,wengine wana fangasi za vinywa kama sio ubovu wa meno mwisho muambukizane magonjwa.
 
Mkuu tuwaze kuondoa umaskin kwanza.....ngono ipo tu ......utafanya mpaka utakimbia kitanda
Mkuu humu JF inaonekana 99.99% ya members ni hohe hahe yaani "kwangu pakavu tia mchuzi" maana thread zihusuzo ngono ndo zimetawala majukwaa mbalimbali!
As you know ngono ndio starehe kubwa ya kapuku
 
Hatutaki habari ya kusadikika au abunuasi. Lete research from well known publication source,or uthorized source. Habari za mtaani ziishie huko huko usichanganye watu humu
 
Hio midomo na ulimi wengine wanavoitumia kwa wenzao, inapita sehemu nyingi mpaka mtu anapapatika kama samaki na kilio juu

Halafu unaskia mtu anakwambia huwezi kupata madhara
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom