Kwa wenye akili timamu tu....m

Kwa wenye akili timamu tu....m

alumn

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Posts
2,369
Reaction score
3,178
Salaam kwenu nyote, ni naomba kujua swali hili kiroho zaidi kwa wenye uelewa

Je? Ni sahihi kutoa bikra ya mwanamke ilihali ukiwa hauna malengo ya kuja kuwa nae maishani?... na mimi nimeulizwa nikakosa jibu...
 
am not joking dogo.... watu tunafikiria kuutoa umaskini wewe wafikiria kutoa birika sijui bikra....uipeleke wapi? be man not boy....
Sawa mdogo wangu ila kumbuka maisha ni haya haya usifikirie tu bali chukua hatua.
 
kuna mahusiano gani ya bikra na kuolewa kwa mwanamke?
 
Kwenda aaaah hujaitwa
Ona ulivyo abnormal sasa[emoji23][emoji23][emoji23]..ume niita ndo maana nme kuja au i salamu yako ina walenga wa nani .si wenye akiri kama mimi japo ume tuita kweny upuuzi wako [emoji1314] SALAM kwa woteee
 
Back
Top Bottom