Katika harakati za kutafuta maisha sometimes mtu unakuwa mbali sana na home. Sasa changamoto inakuja unapotaka kutoa upepo, mara nyingi mtu anaamua kununua tu chang.u au kupiga mkono. Angalau...
Naweza kuwa sio mwandishi mzuri ila kwa minajiri ya kusaiidiwa kimawazo nitajitahidi kuelezea kisa hiki kadiri niwezavyo.
Direct to the Point:
Mnamo mwaka 2016 mwezi wa 5 tulisafiri kikazi kwenda...
Jamani niacheni nione raha na utamu wa kumpenda mpenzi wangu. Yani najihisi raha isiyokifani mpk nashindwa kua na ufahamu niseme kipi na kipi nisiseme.
Nitoe swali tu Kwa vijana wenzangu. Mtu...
Hi guys, hope wazima wote..mimi ni msichana 27years old.,am hiv +ve, independent
Naelewa changamoto iliyopo kwenye jamii kuhusiana na HIV so imekua vigumu kumpata mtu ambae ni +ve pia sababu...
Poleni watanzania wenzangu kwa janga lililotupata kama taifa la kuondokewa na ndugu zetu waliokufa Maji katika ajali ya kivuko cha MV.Nyerere
Ila nasikitika sana kitendo cha wanaume wa Mwanza...
*_JARIBU KUPITIA HII HATA KIDOGO_*
*_Boresha[emoji813]️NdoaYako[emoji179]_*
[emoji1607]```MWANAUME anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi...
Leo nikaambwa hayo maneno na best yangu sikumuelewa
Nilipomwuliza akanitumia hii picha
Yani huko tunapokwenda maisha yanazidi kuwa magumu tu
Sijui Yesu anarudi?! Kiru
Yaani mwanaume mlevi simtaki kabisa. Wanawake waliiolewa na walevi wanapata tabu sana bora niendelee kupiga miayo.
Mimi mtu akinitongoza kama nahisi kumpenda huwa najifanya mimi mke mwema, namtoa...
Mke baada ya kumaliza kuoga akawa chumbani, mume wake alikuwa amejilaza kitandani, huku akiwa anamuangalia mkewe anavyovaa.
Mara mke akavaa chupi kwa kuigeuza bila kutambua, mumewe akaona kuwa...
Habari za jion wana jamii forum.
Basi siku ya ijumaa bwana nilitoka kazini mapema, niliaga naenda kufanya kazi za nje kumbe nina miadi ya mupenzi.
Imefika saa 6 mchana nikaondoka...
#USISUBUTU_KUOA.
Ukiona msichana ana uthubutu wa kuvaa nguo fupi kisha akatembea barabarani bila aibu jua huyu si mke ni bango la matangazo.
Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo inayombana...
Chrispine Mwale 25 mwafrika mwenzetu wa kutoka nchi ya zambia.kijana huyo ambaye alienda china kusoma na baadaye kuangukia katika penzi zito na bint wa kichina na kuanza kumpa micharazo ya nguvu...
Nashukuru kwa mawazo na ushuri wenu mzuri
nimechukua baadhi ya coment chache zilizofanana na ntazifanyia kazi nikianza moja kwa moja na kumshirikisha mungu kama wengi walivyopendelea nifanye...
Habari wakuu!
Natumaini mko salama,ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kutokana na changamoto ya mahusiano iliyopo siku hizi,
Binafsi imenifanya niichukulie
Kwa umakini mkubwa swala
La...
Unakuta Mwanaume anakuwa yuko tayari kuingia kwenye uhusiano lakini mwanamke anakuwa bado. Anataka kuula ujana na yupo katika kile kiwango cha ‘kunguru hafugiki’.
Mwanaume hata afanye nini, yeye...
Nina miezi kama 5 HV baada ya kurudisha kadi ya CHAPUTA baada ya kuitumikia kwa miaka 4 😂😂.
Nimeamua kutulia ili nisije kutia aibu baadae,so kwa wale wazoefu itachukua muda gani hali ya kiuanaume...
Wasomi wengi walikalili kipindi chanyuma kuwa wamalizapo tu masomo yao basi hajira nizakufikia tu yaani uwezi kukaa miaka miwili mtaani ujavuta ajira. Hali sasa imebadilika sana hasa kipindi hiki...
Wana JF.
Utafiti nchini Tanzania unaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume inafikia mwanaume mmoja wanawake watano hapo ndio kunakuwa na uiano.
Ikiwa mwanaume mmoja anatakiwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.