Jr. Gong Mira
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 1,281
- 1,306
#USISUBUTU_KUOA.
Ukiona msichana ana uthubutu wa kuvaa nguo fupi kisha akatembea barabarani bila aibu jua huyu si mke ni bango la matangazo.
Ukiona msichana ana ujasiri wa kuvaa nguo inayombana kisha akatembea mitaani au vichochoroni bila ya aibu hio ni Sanaa ya maonyesho.
Ukiona msichana anasubutu kunywa pombe tena akalewa akiwa baa huyo ni malaya!!
Ukiona msichana ana ujasiri wa kusimama na wanaume barabarani ovyo ovyo bila ya aibu huyo ni gusa unase.
Ukiona msichana ana uthubutu wa kukuomba pesa siku ya kwanza kukutana nae huyo jua umecheza biko na umeliwa.
Ukiona msichana ana ujasiri wa kutoa pesa ili afanyiwe masaji au aoshwe miguu na mwanamme mwengine huyo ni Mali ya umma.
Kaka yangu si kila mwanamke unaetoka nae unaweza kumuoa mchunguze kwanza kabla hujafikia maamuzi ya kufunga nae Ndoa, mke bora ni yule awezae kuwa mfano bora kwa watoto wako.