Habari za mihangaiko wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi sikubahatika kusoma ila naomba mnielewe tu hivo hivo na uandishi wangu, lakini nitajitahidi kuandika ili nieleweke.
Mimi ni...
Habari zenu wa ndugu..
Kuna jambo ambalo huwa linanishangaza sana hivi kutongoza na kutongozwa kuna nipa shida mno mfano:: utakuta binti anampenda mwanaume ila kwa hulka yetu ya kiafrika anangojea...
Wakati unapotongoza mwanamke huwa kuna vitu viwili; aidha unatongoza njia sawa ama unatongoza kwa kubahatisha.
Njia yeyote katika hizi mbili utakazozichukua, mwanamke atafahamu ya kuwa unajaribu...
Niaaaajee
Leo mjukuu wangu ametoa kitabu
finally!
wale mliokuwa mnasema Penny upate wapi wajukuu 5 huyu ni m1 kati ya watano tu
Karibuni kwa mliopo Dar tembelea duka la vitabu mpate kujionea
I...
Hii ni tabia iliyozoeleka sasa hivi japo sidhani kama iko sawa,, mwanamke unamuomba namba anakupa in good faith tena bila kuvutana, sijui anakua anafikiri utakuja umpigie kumwambia maswala ya...
habari zenu wanammu, mm n mwanaume wa miaka 28 pia n mwalmu wa advance , natafta mke awe mrefu, ngoz chocolate na mrembo. awe na uwezo wa kusimamia biashara, miaka yake 20 mpaka 24, no 0758704781
Mapenzi ni ligi usiogope kutumia kanuni yeyote uwapo mchezoni ili uweze kushinda game.
Siyo kila unapoitaji kuduu basi lazima umvue nguo zote siku moja moja unapokutana nae unamvuta yaani unampa...
Wengi tunamfahamu pomboo ama dolfin kwa uwezo wake mkubwa wa akili na upendo kwa binadamu.
Licha ya sifa kedekede alizonazo pomboo pia ni mmoja wa viumbe wa baharini wanaopenda sana kujamiiana...
Hainiingi akili ule usemi unaosemwa kuwa .
GHARISHA YAKO KWANZA . Sasa wanawake wangi hupenda mapambo ,vidani,cheni,nguo nzuri na n.k
Hii yote huongeza kasi ya yeye kuwa mrembo na kutongozwa mara...
Habari wanajamvi!
Baada ya kumfukuzia mdada mmoja wa kichaga(habiba) mwenye umbo namba nane na sura nzuri ya kuvutia kwa takribani miezi mitatu bila mafanikio.
Nilipokea message ya uyo dada...
Habari ya siku mbili tatu waungwana....
Poleni na maombolezo ya msiba wa kivuko cha MV NYERERE.
Basi tuendelee na Mahaba ya Kasie.
Wiki mbili zilizopita nilikuwa bongo daslama na hapo ndo...
Hakuna kitu cha kipuuzi Kama hichii...!! Kama kweli unajielewaa huwezi hifadhi video za ngono kwenye simu yako na Unajua simu yako sometimes wanachezea watoto pia kuna kupitiwa ukampa MTU simu...
Mapenzi yanauma sana Usiombe yakukute Moyo unaniuma sana sikutegemea kama nitamwagwa mzima mzima bila kujua kosa langu ni nini.......Nilimpenda sana huyu bint japo baso sikuwai kulala naye lskini...
Kila mtu ana pendeleo lake kwa yule ampendae tafadhari msinijaji.
Kwangu sina haja ya sura ata ukiwa na sura kama bakuli la mirembe is not a big deal kwangu ila tu Makinikia yawepo .
Makinikia...
Wakuu,nna bint m1 hiv sasa sielew ni brain ama nin,yaan ujue mtu mwenye upeo unamjua tuu hata ongea yake,mipango yake,memory,..
Ila huyu yaan anaeza ongea kitu ukabak kunyamaza tuu,maana ni bogas...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.