Mahusiano/Mapenzi Mdogo wa Gudume afa kishujaa, akilitetea Taifa lake huko China

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Chrispine Mwale 25 mwafrika mwenzetu wa kutoka nchi ya zambia.kijana huyo ambaye alienda china kusoma na baadaye kuangukia katika penzi zito na bint wa kichina na kuanza kumpa micharazo ya nguvu hadi binti kumzimikia kinoma.

Siku ya tukio inasemekana yey na wenziw pamoja na bint huyo walitoka klab.bint akalazimisha kuwa akapigwe na mti wa mpingo.jamaa alipoona demu kalazimisha sana akaona isiwe shida basi akamchape nao huko anakoishi huyo shang shun ji.

Alipiga nao usiku kumbe majiran walisikia kile kipigo wakawaambia ndugu wengine wa karibu kuwa kuna mtoto wa kichina anapata kipigo cha mwana ukome huko ndani.ndo jamaa kwenda kumkuta kidume kajaa ndani kama kwake vile.

Wale wachina kwa wivu,hasira na chuki walimpiga jamaa mpaka kumuua.kijana huyo aliyekuwa ameenda kusomea uinjia maskini ametoweshwa duniani kwa sababu tu ya kuonesha kipaji chake cha kiafrika.

Nmewasiliana na GuDume anaonekana kujawa na huzuni sana baada ya kupewa taarifa hizi.ameomba wadau wote humu mabibi na mabwana kwa siku 3 mfunge vitambaa vyeusi mikononi na pia katika siku hizi kabla ya tendo mnyamaze dakika 3 mkimkumbuka chrispine mwale.ndipo mwendelee na tendo hilo la kupigana mti.
 
Zambian-man-Chrispine-Mwale-zimetro-zw.jpeg
images
images
chinese-black-couple-01.jpg
 
Back
Top Bottom