Ndoa: Mke Kugeuza Chupi

Mtayarishaji

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
291
199
Mke baada ya kumaliza kuoga akawa chumbani, mume wake alikuwa amejilaza kitandani, huku akiwa anamuangalia mkewe anavyovaa.

Mara mke akavaa chupi kwa kuigeuza bila kutambua, mumewe akaona kuwa mke aligeuza chupi ila akamkaushia.

Mke akamuaga mumewe kuwa anaenda sokoni, akaondoka.

Alipo rudi nyumbani akakuta mume bado amejilaza, alipokuwa anabadili tena nguo mume akawa anamtazama ghafla akaona chupi mke ameivaa vizuri.

Swali

Kama wewe ndio mume ungefikiri nini?

Na ikiwa mkeo aliondoka amevaa chupi akiwa ameigeuza ila alivyo rudi kutoka sokoni kaivaa vizuri utachukua hatua gani?

NB: Simulizi hii nimeitoa katika group la dini facebook.
 
Upo uwezekano pia kwamba mke aligundua amegeuza chupi na akaamua kwenda bafuni kuibadili huko maana hakutaka kumsumbua kwa kelele mume wake.

Pengine walikuwa wakipiga story na akajisahau kwamba anavaa hiyo nanihii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom