Wanawake ni wengi kuliko wanaume sasa itakuwaje kuwa na mpenzi mmoja?

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
1,195
Wana JF.

Utafiti nchini Tanzania unaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume inafikia mwanaume mmoja wanawake watano hapo ndio kunakuwa na uiano.

Ikiwa mwanaume mmoja anatakiwa kuwa na mwanamke mmoja hawa wanawake wengine ambao ni wengi watapata wapi wapenzi sababu wanaume wote wana wapenzi tayari.

Wanaume na wanawake ebu tupeni michango yenu kwenye suala ili.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Wanawake watano mwanaume mmoja? Utafiti wa mwaka gani na alifanya nani?
 

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Nani amekuambia ili maisha ya wanawake yaende ni lazima awe na mpenzi au mume!
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Shirika lisilo la kiserikali kutoka Ujerumani...wewe uamini kama wanawake wapo wengi kuzidi wanaume.

Linaitwaje?
Ratio ikiwa kubwa ni mwanaume mmoja kwa wanawake 1.09. Haya tufanye 1:1.5, hivyo basi, kila mwanaume aoe mwanamke mmoja halafu achangie mwanamke mwingine na mwanaume mwenzake!
 

Sumu

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
6,938
2,000
Watapiga puchu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Shirika lisilo la kiserikali kutoka Ujerumani...wewe uamini kama wanawake wapo wengi kuzidi wanaume.

unajua jinsi ya kuandika habari za kitafiti? Unatoa link, ama unatoa jina la mtafiti/shirika na mwaka. Hayo mambo ya kuamini tusije tukaanza kudaiana sadaka hapa, sio kanisa hili.
 

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
1,195
Linaitwaje?
Ratio ikiwa kubwa ni mwanaume mmoja kwa wanawake 1.09. Haya tufanye 1:1.5, hivyo basi, kila mwanaume aoe mwanamke mmoja halafu achangie mwanamke mwingine na mwanaume mwenzake!

Hapo mkuu itakuwa tunawatumia wanawake kama bidhaa.
 

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
1,195
Umeona eeeh...kuna wengine washajikatia tamaa na wala hawana hata shida ya mahusiano..

Mkuu mbona ueleweki unasema wameishajikatia tamaa, inamaana wamekosa wanaume halafu mwisho unasema hawana shida na mahusiano.
 

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
4,863
2,000
Hebu tupe chanzo cha huo utafiti. Maana naona umetaja utafiti bila kufanya utafiti wala kutupa source. Naona habari hii ni kama hisia za mtu binafsi au imewekwa chumvi kama siyo kupotoshwa. Hata kama idadi ya wanawake nchini ni kubwa lakini si kwa uwiano uliotoa.
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
65,742
2,000
Aisee hili limjamaa linasema kweli afu watu mnaponda. Sijui mkoje?

Ngoja nicheki na Hamida, leo itabidi iwe zamu yake.

Bila kuwasaidia hawa watu vinaniliyu vyao havichelewi kuziba.

Wanaume tujiunge tulitatue hili tatizo kwa wanawake. Ni ndugu zetu hawa na undugu ni kusaidiana.
 

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,768
1,195
Sasa hivi wanaume wengi utakuta ameoa lakini ana wanawake watatu au wanne pembeni. Kwa jinsi walivyokuwa wengi hawa viumbe.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom