Wasomi msipobadilika kifikra wallah mtapata tabu sana

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
4,856
Reaction score
6,442
Wasomi wengi walikalili kipindi chanyuma kuwa wamalizapo tu masomo yao basi hajira nizakufikia tu yaani uwezi kukaa miaka miwili mtaani ujavuta ajira. Hali sasa imebadilika sana hasa kipindi hiki chamzee magu nibalaaa nasema nibalaaa

Ushauri wangu wasomi wetu sasa nikipindi chenu chakubadili fikra nakuwa wabunifu hakika mkifanikiwa kwahilo naamini nchi yetu itasonga mbele. Angalia watu wenye vipato vyakati wengi hawajaenda shule ila wameweza kujituma mpaka kufikia hatua wamejitengenezea vipato ambavyo vinaendana namishahara yawasomi wengi yaani msomi analipwa nandio Elihu yake inakuwa imeishia hapo ila mda huohuo kuna mtu ajasoma zaidi yaelimu yakuandika nakusoma tu ila amejitengenezea vitega uchumi vyakutosha naanakuwa huru nakipato chake namda huohuo ameweza kuajiri watu wengine kwamishara yakawaida tu!!!.

Sasa wasomi mkisema mvae uhusika kwakutumia elimu zenu namkajitoa kwaajili ya nchi yenu navizazi vyenu hamuoni kuwa mnaweza kupiga hatua kubwa zaidi yahuyu ambaye ajaenda shule au mlishawahi kujiuliza huyu ambaye ajasoma nifursa ngapi zinampita kwasababu yaelimu yake namaarifa yake niduni? Mimi naamini wasomi wetu mnanafasi kubwa sana yakufanya mabadiliko yamaisha yenu nanchi yenu endapo mkiwa serious naelimu zenu. Naninaamini mkianza nyinyi nakizazi kingine kitafata mwisho wasiku kizazi kwakizazi mwisho wasiku inakuwa kujiajiri nibora kuliko kuajiriwa. Naaminini kabisa nyinyi ndio mnasababisha hata serikali haiwapandishii mishahara kwasababu inajua kabisa hamna pengine pakushika zaidi yakutegemea ajira zaserikalini. Naserikali inajua kabisa hata wafanyakazi wakigoma kuingia makazini inajua kuna wasomi wengi wapo kitaa hawana kazi ndiomana uwezi Kuja kusikia kwasasa eti kuna wafanyakazi wamegoma hiyo haipo.

Niushauri2 vile vile povu ruksa maana wasomi wengi ambao hawana ajira nabado hawajakubaliana nahali halisi wengi wao akili zao zilishacheza kwahiyo sitashangaa povu lolote humu.

NB: sina elimu wala ujuzi wowote ila nashukuru mungu nimeweza kujitengenezea kipato kinachoendana namshahara wamwalimu nabado nipo huru kujiongezea kipato changu zaidi nazaidi.
 
Sema uandishi wako kidogo unayumbayumba lakini ukisoma kwa umakini unaeleweka..personally nimekuelewa na nalifanyia kazi kwa hali na Mali
 
Ujumbe mzuri ila umepotea jukwaa huku tunajadili migegedo iliyotukuka
 
Back
Top Bottom