Kupenda Raha jamani

Kupenda Raha jamani

Antonio Conte

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Posts
1,089
Reaction score
1,748
Jamani niacheni nione raha na utamu wa kumpenda mpenzi wangu. Yani najihisi raha isiyokifani mpk nashindwa kua na ufahamu niseme kipi na kipi nisiseme.

Nitoe swali tu Kwa vijana wenzangu. Mtu akikuukiza hili swali. What does woman need the most in relationships? Utajibu nini?

Kan'tangaze njoo mpenzi wangu
 
Kumpenda mtu sio natural state....Ni transitional state,it is unstable state!

Kupenda mtu au kuchukia mtu ni very transitional and un-natural state.Hii stage inaletwa na arousals kutokana na external causers hivyo sio permanent.Ubongo unakua altered,unakua haupo kwenye normal state ambao ni "ukichaa"...

Bwana Conte kupenda au kuchukia ni ugonjwa,unahitaji counselling urudi normal state!

Mapenzi ni ugonjwa wa akili.....

Chuki pia ni ugonjwa wa akili....

State ya kawaida ni HURIA....

Ndio inafanya dunia kua normal na amani.....mapenzi na chuki ni hali hatari sana!
 
Wakati wengine wanaumizwa na kulia , wengine wanazidi kupenda.... [emoji23][emoji23]the world is not fare
 
acha upunwe pesa ubakie mapumbu ndio akili itakukaa sawa.......hawa watu tulionywa tuishi nao kwa akili.....atakuektia weee utadhan unapendwa kumbe ana target zake....... whatch out dude
What does woman need the most?

Mpunga au kupendwa, kuheshimiwa, kuthaminiwa?

Tatizo vijana wa siku hizi hamuendi jandoni mnakurupuka tu kua na mahusiano
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom