Natafuta mwenza /mke wa maisha

Nyangaramera

Member
Jan 19, 2017
57
125
Habari wadada wa jf
Mimi ni mwanaume wa 30yrs.Ninaishi dar ni mwajiriwa,kipato cha wastani.
NB.kama kichwa cha habari kinavyojieleza,natafuta mwenza/mke ambaye atakuwa tayari tuoane na kuanzisha familia.

Sifa zangu:
Mrefu wa wastani(si mfupi)
Elimu chuo kikuu (degree ya accounts)
Dini mwislam
Maji ya kunde

Sifa za ninayemuhitaji:
Awe mrefu wa wastani
Elimu kuanzia form six kuendelea
Rangi maji ya kunde/mweupe
Dini yoyote (preferably muislam ili kusiwe na obstacle kwenye kuoana)
Mwenye shape (im so loyal na shape awe amejazia kiasi)
Mcha Mungu

Aliye tayari kindly ani pm.please be serious .niko serious katika hitaji langu

Asanteni
 
Niko serious katika ili,i prefer muslin ama aliyetayari kubadilisha dini coz nimekuwa katika mahusiano for 5 yrs obstacle ya kuoana kubwa imekuwa ni dini
 
Josaje Mtui

JF-Expert Member
Oct 1, 2016
2,272
2,000
Mkuu umeshaacha ile tabia yako kuchungulia chungulia kwenye vibanda vya chips
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom