Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asikudanye mtu uzuri wa gari ni body hata likipita barabarani utavutiwa na body na si kingine gari hata iwe na sura nzuri lakini body limepondwapondwa hadi kupoteza shape hamna atakayelitaka gari...
10 Reactions
150 Replies
55K Views
Kutokana na tatizo la madomo zege kuongezeka nimeamua kujitolea tu ili kuokoa team kiumeni! Hii inawahusu hata wale ambao hawawezi kumshawishi mwanamke amkubalie! Hizi ni baadhi ya mbinu tu...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimetembea na vidume wakutosha na kuna wengine niliambiwa wana ngoma, lakn nilipima na kukutwa damu safi. Hilo halikunishangaza sana kwani wale niliotembea nao sikuina kama wana dalili za kuwa na...
16 Reactions
128 Replies
14K Views
Habari wanajamvi... Hivi juzi nilikutana na mtwasi mwenzangu na tukawa na stori za hapa na pale kuhusu maisha. Katika mazungumzo tukagusia maendeleo ya watoto shuleni. Jamaa ana watoto wa kiume...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Sifa ya kwanza awe muajiliwa au kajiajiri Sifa ya pili awe tayari na miaka kuanzia 25 mpaka 35, Asiwe na zaidi ya mtoto moja Sichagui dini wala kabila Awe mzuri wa wastani na mnene kiasi na wowo...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari jf natafuta Mke wa kuoa alie Na sifa zifuatazo 1. Ajue kusoma na kuandika 2.awe na heshima 3. Mweupe ama Maji ya kunde 4. Asiwe mfupi sana wala mnene sana 5.umri miaka 18-26 .karibuni PM...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Ni muhimu sana kuzingatia uzazi wa mpango siku hizi kwani kutokana na kuporomoka kwa maadili, baadhi ya watoto wamekuwa ni mizigo badala ya hazina katika familia. Watoto hawawezi kuwa tofauti...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wanazengo Unajua mwanzoni ilianza kama mzaa hivi watu walikuwa wanataniana wakicheka na hakuna aliyekuwa anamaindi lakini upepo umebidalika kwa kiasi kikubwa na kama hatua madhubuti...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Binafsi nina ndoa na ni mwaka wa pili sasa, nampenda wife sana ila kwenye mechi naendaga round moja nikijitahidi sana mbili, lakini ikitokea nimeterereka!! duuuhh huko nje naperform vizur sana, je...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Natumaini wote mnatekeleza majukumu yenu bila shida pamoja hofu za hapa na kule, kiuchumi na kijamii poleni kwa wenye kuistahili na hongera kwa wote wenye utulivu katika vitanda vyao wanavyolalia...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Ndugu jf, nimekuja hapa kuomba ushauri, nikiwa chuo nilikutana na kijana tukaanzisha mahusiano kwa bahati nzuri nikashika mimba nikamwambia mwezangu alikataa na kuniambia niitowe yy anamtu wake na...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Salaam wadau, Ni kawaida katika mahusiano ya mapenzi baina ya mwanaume au mwanamke mmoja anaweza kuamua kusitisha uhusiano kwasababu fulani au hata bila kutoa sababu maamuzi ya mtuyanapaswa...
2 Reactions
198 Replies
27K Views
Habari za mihangaiko wakubwa na wadogo. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nipo mtaa fulani maeneo ya Zanzibar nimeamua kuhamia juzi juzi baada kununua nyumba, lakini umeme umo maji hamna. Basi...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Hii ni mada ya muendelezo katika mada zangu za maslahi kwa wanaume ambapo hua nawapa ushauri wanaume wenzangu kuepuka makosa makubwa kwenye mapenzi ambayo yanaweza kuepelekea kujiua au kuua mtu...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
Yani mimi baadae nikija kuwa na familia yangu na watoto baadae nikaachana na baba yao basi uyo baba akae na ajue hatakuja kuwaona watoto tena katika maisha yake ata akiwaona atakua anawaona tu...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Kuna anayejua hii gym ilipo.Nahitaji kuanza mazoezi mara moja ya kutengeneza [emoji123] na six packs. Kwa hii gym siendi mbinguni
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna msemo unasema Baharia hatishwi na mawimbi ya bahari, Wale wanachama wenzangu wote wa kupiga deki kule uvinza tukutane hapa tukidumishe chama chetu kiweze kufika mbali zaidi, Haijarishi huko...
7 Reactions
94 Replies
12K Views
Tupo ktk zama ambazo wanawake weng hujipamba kwa uzuri wao, mapambo yao kwa kutumia mali zao, na wengine huvaa stara aidha kamili au isiyokamili ili kuwadanganya na kuwavutia wamaume kuwa nao pia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…