Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,985
Binti mmoja anayefahamika kwa jina la Beth (miaka 18), amenusurika kufa baada ya kunywa sumu ya panya. Katika chumba chao kulikuwepo na kisu ambacho inasadikika kuwa huenda alitaka kukitumia kujitoa uhai. Binti huyo alisaidiwa na majirani baada ya kupiga kelele za kuomba msaada alipoanza kupata maumivu ya tumbo na alipofikishwa katika kituo cha afya alipata nafuu na Leo ameruhusiwa kurudi nyumbani.
Chanzo cha mwanadada huyo kufikia hatua hiyo ni kutokana na mateso anayoyapata kwa mume na huku familia yake na ndugu wakimtaka avumilie na kuambiwa kuwa ndio ndoa zilivyo.
Chanzo cha mwanadada huyo kufikia hatua hiyo ni kutokana na mateso anayoyapata kwa mume na huku familia yake na ndugu wakimtaka avumilie na kuambiwa kuwa ndio ndoa zilivyo.