Tunapendana sana ila tofauti ya Dini zetu ndo Kikwazo Kikubwa

Abdul Mkwayu

Member
Jul 7, 2018
53
73
Nina mpnz wangu ambaye tunapendana sana. Yapata miaka 2 hiv na ushee toka tuwe pamoja. Tunashirikiana kwenye maswala mbalimbali ya Maisha na Kimaendeleo simply she is wife material kabisa.

Ila hili swala la Dini linaonekana Kikwazo kikwabwa sana kwenye Kufikia lengo la Mahusiano yetu.

Labda ndgu zangu ambao mlipitia changamoto hii mlifanyaje kwa upande wenu.
Nisaidieni kijana mwenzenu mana haya familia zetu ni strong sana kwenye Dini yaan inaleta ugumu hata kwa mmoja kumfuata Mwengine.

Nawasilisha.
 
Mkuu, mambo ya kubadili dini kisa ndoa yalishapitwa na wakati, kama mnapendana kweli fungeni ndoa mseto. Kama hampendani mtaendelea kuzungazunguka katika huo upuuzi wa nani amfuate nani.

NB kubadili dini ni moja ya dalili kubwa sana ya kukosa msimamo hasa kwa mwanaume. Ukibadili dini hakuna mtu atakuamini, trust me.
 
Tatizo lipo upande wa nani???? Wakk au wake??

I feel you bro, kama umeshaona vikwazo sasa hivi toka hapo tafta wa dini yako

Ni mahusiano machache ya watu wa dini tofaut kufika malengo, tafta wa dini yako.
 
Changamoto kweli kweli..
Itabidi tu iwe ivyo tho kupata mtu kama yeye pia ni kibarua kipya. Acha nijaribu tu
 
Mkuu, mambo ya kubadili dini kisa ndoa yalishapitwa na wakati, kama mnapendana kweli fungeni ndoa mseto. Kama hampendani mtaendelea kuzungazunguka katika huo upuuzi wa nani amfuate nani.

NB kubadili dini ni moja ya dalili kubwa sana ya kukosa msimamo hasa kwa mwanaume. Ukibadili dini hakuna mtu atakuamini, trust me.
Sure mkuu Ngoja tufanye mambo mengine tu
 
Nina mpnz wangu ambaye tunapendana sana. Yapata miaka 2 hiv na ushee toka tuwe pamoja. Tunashirikiana kwenye maswala mbalimbali ya Maisha na Kimaendeleo simply she is wife material kabisa.

Ila hili swala la Dini linaonekana Kikwazo kikwabwa sana kwenye Kufikia lengo la Mahusiano yetu.

Labda ndgu zangu ambao mlipitia changamoto hii mlifanyaje kwa upande wenu.
Nisaidieni kijana mwenzenu mana haya familia zetu ni strong sana kwenye Dini yaan inaleta ugumu hata kwa mmoja kumfuata Mwengine.

Nawasilisha.
Mwambie ani PM mkuu mimi nitabadili dini kwa ajili yake
 
Back
Top Bottom