Kwa mujibu wa mtandao wa Citizen Daily Updates:

Kwa mujibu wa mtandao wa Citizen Daily Updates:

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2018
Posts
211
Reaction score
146
Mrembo martha kwamboka Ogero wa kayole kenya alijiua kutokana na maisha magumu na kushindwa kulipa kodi ya nyumba ya miezi miwili.

Toa maoni yako

Mimi binafsi kwa Uzoefu wangu wa kutazama picha za Sulcide Victims Huyu amejiua kwa sababu Nyingine ya Ziada isiyo kodi,
IMG-20181018-WA0000.jpg
 
For you our fellow Kenyan Men, from the bottom of my heart mmetudahalilisha sana Wanaume wenzenu wa East Africa kwa hili la huyu dada!
 
Ntakuelewa kama ni Kodi plus matatizo mengine,na sio kodi pekee..
 
Wanaume wa Kenya mmetudhalilisha Sana wanaume wa East Africa. Kwa tukio la huyu dada, aibu kubwa Sana mmeleta
 
Back
Top Bottom