Watu wa Dar nini maana ya kudamshi ,Kama yote???

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,712
Reaction score
8,769
Za Jumapili wa MMU

wakati watu wanaendelea kumtafuta bilionea MO maeneo mbalimbali ya Dar es salaam na viunga vyake,nawauliza watu wa Dar

Miezi ya hivi karibuni limeibuka hili neno "Kudamshi kama yote" sasa nawauliza lina maana gani manake limeanza kutumika kwa kasi sana hadi huku mikoani

Hili neno ukilichek sana kimatamshi linatakiwa litamkwe na kina dada na kina mama zaidi,ila cha ajabu nimegundua na wanaume wa Dar nao wanalitumia kwa kasi sana

Mniambie jamanii maana yake.
IMG-20181013-WA0003.jpeg
 
Hahahaaaa endeleeni kudamshi huko Dasalade sie tunatengeneza pesa kama zote huku porini.
 
Wakuu hebu acheni kutudharau wanaume wa Dar. Yaani mlianza kutunyanyapaa kwa kutunyang'anya mji mkuu wa Nchi. Na baada ya hapo mnatufananisha na tabia za kike. Hivi mnajua kuwa sisi tuna nguvu na ujasiri kuliko nyie wa huko pembezoni? Acheni bhana mnatukera, aaaaaaah.
 
Wakuu hebu acheni kutudharau wanaume wa Dar. Yaani mlianza kutunyanyapaa kwa kutunyang'anya mji mkuu wa Nchi. Na baada ya hapo mnatufananisha na tabia za kike. Hivi mnajua kuwa sisi tuna nguvu na ujasiri kuliko nyie wa huko pembezoni? Acheni bhana mnatukera, aaaaaaah.
Za Jumapili wa MMU

wakati watu wanaendelea kumtafuta bilionea MO maeneo mbalimbali ya Dar es salaam na viunga vyake,nawauliza watu wa Dar

Miezi ya hivi karibuni limeibuka hili neno "Kudamshi kama yote" sasa nawauliza lina maana gani manake limeanza kutumika kwa kasi sana hadi huku mikoani

Hili neno ukilichek sana kimatamshi linatakiwa litamkwe na kina dada na kina mama zaidi,ila cha ajabu nimegundua na wanaume wa Dar nao wanalitumia kwa kasi sana

Mniambie jamanii maana yake.View attachment 897789
Wa dar tuambieni
 
Wanaume wote mnaotumia neno kudamshi mtatumia choo kimeandikwa Ladies.Ahsanteni
 
wanaume wa mkoani wana misemo ya kichokro nmemfuma mmoja akisema eti "Usinikaushe uzazi"
 
Tafuteni maneno yenu na nyie wa huko mikoani maneno ya Dar achaneni nayo
 
Back
Top Bottom